BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Hamna kitu, hii inawezekana ni mbinu ya serekale ya kuwatisha watu, kuchochea chuki na kuleta confusion miongoni mwa watu.Shida kama alikuwa anavunja ndoa za watu. Anyway, polisi watatupa mwelekeo
Hizi ndio mbinu zao siku zote, na kwa sababu pia hakuna SHERIA inayozuia usagaji nchini, kwahiyo wameamua kupita mlango wa nyuma ili kuchochea habari za ushoga na kuleta taharuki.
Majizi yanapeta tu, huku watu wasio na hatia wanaangamizwa na kutumiwa kama chaka la kuficha maovu ya majizi.