TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

[emoji28][emoji28]sijawahi kufirwa na sitarajii kabisa Sasa wewe si ndio unatetea hyo michezo mkienda kupimwa muhimbili mnalia.
Sifanyi jambo lolote kinyume Cha nature Mimi
Ningeshangaa sana kwamba wewe unatoa kwa mpalange?? Ukiwa pale Ikwiriri kuna sehemu pameandikwa kabisa kwa Mpalange!!!

Kuna siku nilikua Singida kikazi, niko zangu Kilimani bar nakula maji, akaja mdada mmoja tukawa wote pale, nilishangaa kila round anasema worry out i will clear the bill, machale yakanicheza, nikaenda msalani nikauliza mtu mmoja kuhusu yule demu nimekaa nae, nikaambiwa yule anakununulia beer ukamchimbe mtaro ni mfanyakazi wa XXX ofisi, ndiyo zake hizo pigo... nilimkimbia kusema na ukweli
 
....na mwanaume anayesimamisha kwa ujasiri kabisa mkuyenge kwa kuona shimo la nyuma la mwanaume mwenzie hapo huwa nachoka kabisa.....!
 
Hivi na usagaji ni tatizo kijamii au suala la ubinafs na makasiriko ya wanaokosa wanachokipenda sana kwa faida na uchu wao!
Mi nijuavyo ushoga ndo tatizo hasa maana madhara yake ni hakika(patent).
Hawa wa kukoboana tuwaache tu na fantasies zao!
Kwanza inawasaidia wasipatwe maradhi, mimba, msongo, unyanyasaji na ukatili.
Kinachotafutwa kwenye mapenzi ni FURAHA, wahusika wa kutoa hiyo huduma wajitafakari.
 
Kumekuchaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama visu alivyokuwa akichukua ndo kama hivi basi sishangai kwa kilichomtokea.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…