Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mimi nilielewa hivyo. Amejibu sasa kapata mimba/mtoto njia ya kawaida.
Kwa hivyo baba mtoto sasa anaomboleza msiba wa mwanamke ambaye alikuwa mama wa mtoto wake ambaye pia alikuwa mume wa watu wengine.
Pole kwa wafiwa.
Ana watoto wawili jumla
Huyu mkubwa aloacha ana miezi nane