TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Mimi nilielewa hivyo. Amejibu sasa kapata mimba/mtoto njia ya kawaida.
Kwa hivyo baba mtoto sasa anaomboleza msiba wa mwanamke ambaye alikuwa mama wa mtoto wake ambaye pia alikuwa mume wa watu wengine.

Pole kwa wafiwa.

Ana watoto wawili jumla
IMG_8859.jpg

Huyu mkubwa aloacha ana miezi nane
 
[emoji28][emoji28]sijawahi kufirwa na sitarajii kabisa Sasa wewe si ndio unatetea hyo michezo mkienda kupimwa muhimbili mnalia.
Sifanyi jambo lolote kinyume Cha nature Mimi
Ningeshangaa sana kwamba wewe unatoa kwa mpalange?? Ukiwa pale Ikwiriri kuna sehemu pameandikwa kabisa kwa Mpalange!!!

Kuna siku nilikua Singida kikazi, niko zangu Kilimani bar nakula maji, akaja mdada mmoja tukawa wote pale, nilishangaa kila round anasema worry out i will clear the bill, machale yakanicheza, nikaenda msalani nikauliza mtu mmoja kuhusu yule demu nimekaa nae, nikaambiwa yule anakununulia beer ukamchimbe mtaro ni mfanyakazi wa XXX ofisi, ndiyo zake hizo pigo... nilimkimbia kusema na ukweli
 
Lakini Mimi niwe mkweli tu, hawa wanawake wanaosagana Mimi hawaniumizi kichwa kabisa, mikundu yao ipo salama kabisa.

Mwanamke hata awe msagaji na msagajwi watabaki kuwa wanawake tu na bado wakapelekewa moto na wanaume.

Shida yangu hivi mtoto wa kiume unaanzaje kubong'owa unatiwa dudu? Aisee hapo sipatagi jibu mpaka kesho.
....na mwanaume anayesimamisha kwa ujasiri kabisa mkuyenge kwa kuona shimo la nyuma la mwanaume mwenzie hapo huwa nachoka kabisa.....!
 
Hivi na usagaji ni tatizo kijamii au suala la ubinafs na makasiriko ya wanaokosa wanachokipenda sana kwa faida na uchu wao!
Mi nijuavyo ushoga ndo tatizo hasa maana madhara yake ni hakika(patent).
Hawa wa kukoboana tuwaache tu na fantasies zao!
Kwanza inawasaidia wasipatwe maradhi, mimba, msongo, unyanyasaji na ukatili.
Kinachotafutwa kwenye mapenzi ni FURAHA, wahusika wa kutoa hiyo huduma wajitafakari.
 
Hivi na usagaji ni ratizo au suala la ubinafsi! Makasiriko ya kukosa unachokipenda sana!
Mi nijuavyo ushoga ndo tatizo hasa maana madhara yake ni hakika(patent).
Hawa wa kukoboana tuwaache tu na fantasies zao!
Kwanza inawasaidia wasipatwe maradhi, mimba, msongo, unyanyasaji na ukatili.
Kumekuchaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom