TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Kama utaendelea kuchangia mada za wanaume wanaoingizwa uume na wanaume wenzao tutaendelea kuku quote tu, nakumbuka hasira zako ni vile nilikuumbua kua unajifanya kuchukia ushoga na usagaji ajabu kila mada inayohusu jambo hilo lazima uwepo na kuchangia maelezo mareeefu, nikakuuliza je wewe ni Shoga uliyeko kwenye denial?

Leo tena umethibitisha mashaka yangu, upo hapa kwenye mada ile ile unayoichukia, ukiacha unafki tu Mbingu hii hapa [emoji38]
 

Wanaosh pamoja milembe kajenga nyumba mwanza na wanawake huwa wanamgombania maana anahonga sio bahili 😂😂
 
My Dear Saint Anno II I know you are such an intelligent woman, decided , practical, determined and God fearing Woman , let me advice you ....

Don't use your energy to argue with such a fool ,moron imbecile person !!!!


Utanishukuru, Wapumbavu Huwa wanakawaida ya kutaka uuongelee Upumbavu wao kwao ni Furaha !! 🤣🤣🤣

Usipompa hiyo nafasi, Huwa wanajidharau ,wanaumia sana .
 
Nipo Gesti Tandale Dar es Salaam Namkanda / Nambandua Binti wa Watu aliyenilia sana Pesa zangu leo Kajaa katika 18 za Mayele na Baleke.

Mkuu Kua makini husipendelee Guest House za uswahili, wadada wa huo uswazi hawachelewi kupanga watu wakavamia guest na camera na wapiga Picha . Hela zitakutoka kununua hiyo camera
 
Kauliwa sababu ya Usagaji ama kauliwa kwa mambo mengine? Tupeni habari kamili tujue pa kuanzia,

Hii Serikali inaenda kuchafuka vibaya sana, zile safari za usiku na mchana na Mbwembwe zote za Royal Tour zitakua for nothing,

Culture Me

Ujue pa kuanzia kufanya nini? Maskini mnahangaikaga sana na vitu visivyo maana.
 
H
Ila waTz hizi tabia za kuua uana mmerithi wapi hizi roho? Mtu anaweza kuja kukuua kwa mambo yake personal akakusingizia ushonga/usagaji. Shauri yenu mkijihisi mko salama.
Hebu fikiria mtu kidudu chake mwenyewe unaanza kumuua hizi nazo ni roho za kishetani!Kuna faida gani kuuchukia ushoga na usagaji na kuupenda uuaji?
 
Basi na mie sijasoma swali lako. Case closed
 
SAS unakuja kutuuliza ss wakat upo na mtu mwenye habri au unatka jf ijue una gari na unatoa lift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…