mods naomba msiunganishe uzi huu na uzi mwingine.
Kupitia ukurasa wake wa instagram, Likud wa Jf ambae ni member mkongwe hapa JF ametoa maoni yake kuhusu tukio la kuuwawa kwa mwanadada kemilembe Suleiman huko mkoani Geita.
Likud amesema yafyuatayo:
1. Siungi mkono mauaji ya mtu yoyote yule kwa sababu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwanadamu ni Mwenyezi Mungu pekee, lakini Wasagaji na mashoga ni wahalifu wa mfumo wa kijamii ( wahalifu wa mfumo wa asili ambao umekuwa established na nature itself) na kwamba mfumo ambao jamii inautambua na ambao umekuwa established na Mungu mwenyewe ni (ME + KE) na sio ( ME +ME) au (KE + KE) Kwa hiyo msagaji au shoga anapo uwawa most of the time inakuwa ni act of nature. Ni nature yenyewe ndio ime dictate huyo mtu awe neutralized kwa sababu ana defy mfumo. Wewe mwanadamu ni the highest part of nature. Wewe ni the conscious part of nature. Unapo chukizwa na usagaji na ushoga sio wewe, ni nature ndio inachukia huo mfumo kupitia wewe kwa sababu wewe ndio the conscious part of nature.. Mtu anapo fanya mambo kinyume na nature, na anapo enda mbali zaidi kwa kutangaza hadharani kushindana na nature ( kama alivyo kuwa anafanya marehemu Milembe Suleiman) anakuwa ametangaza vita na nature yenyewe na nature haijawahi kushindwa na kitu.
Likud anaendelea kwa kusema kwamba " Zamani wasagaji na mashoga walifanya mambo yao kwa uficho mkubwa sana, lakini siku hizi hali imekuwa mbaya zaidi kwa sababu wanafanya mambo yao hadharani, unapo fanya mambo hayo hadharani maana yake ni kwamba una ya promoti, na unapo ya promote hayo mambo unakuwa unazidi kutengeneza idadi ya wahalifu wa mfumo wa kijamii/ mfumo dhidi ya nature. Inapo tokea situation kama hii, reaction ya nature siku zote huwa ni ku kuneutralize. Kwanini nature humuondoa mtu anaefanya na kupromote matendo kama hayo hadharani? kwa sababu huyu mtu anakuwa anasimama kama " virus". virus dhidi ya mfumo imara wa jamii.
Ukiwa na computer yako halafu virus mmoja akaingia basi unacho takiwa kufanya ni kumuondoa huyo virus haraka iwezekanavyo kwa sababu usipo fanya hivyo kitakacho fuata baada ya hapo ni kwamba huyo virus ata corrupt mfumo computer nzima na computer nzima itakufa. Mfano wakati wa Sodoma na Gomora, vitendo vya ushoga na ulawiti havikuanza kufanywa na wana sodoma na gomora wote kwa pamoja, nope vilianza na watu wawili then baadae vika spread sodoma yote baadae vikaamia Gomora, mwisho wa siku nature ikaamua kuteketeza Sodoma na Gomora yote kwa sababu tayari ilikuwa corrupted.
Nchi kama Saudi Arabia wamefanikiwa sana katika kuweka sheria kali dhidi ya wahalafu wote dhidi ya mfumo wa kijamii. Sio mashoga na wasagaji tu bali hata wazinzi na waasherati nao wanauwawa. Hivi ndivyo ilivyo kuwa katika Israel ya kale pia.
Narudia tena, siungi mkono mauaji ya Milembe, lakini kama wasemavyo wenye hekima kwamba kuna jambo chanya katika kila jambo hasi, ni matumaini yangu kuwa awe ameuwawa kwa sababu ya yeye kuwa msagaji au sababu nyingine yoyote , wanawake wengine wenye tabia kama yake wata ogopa kufanya mambo hayo hadharani ( kwa hofu ya kuuwawa na watu wanao chukizwa na mambo hayo). Watafanya kwa uficho. Advantage ya kutokufanya mambo hayo hadharani ni kwamba itasaidia kuto ku corrupt watu wengine.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
SOURCE: UKURASA WA INSTAGRAM WA LIKUD.
Nimeshindwa ku uandika hapa kwa sababu najua ni kinyume na kanuni za jf kuquote pages na link hapa mtandaoni.
WHAT DO U THINK WADAU? IS LIKUD RIGHT OR WRONG?