Sio Mimi nimetoa tafsir ya verse ni skola nguli wa waislamuJibu swali nililo kuuliza.
Naam kiingereza kigumu kwangu na mimi nina matini ya aya na tarjama ya Kiswahili. Hii ndiyo tofauti yetu na nyinyi, wewe huna marejeo ya asili kwenye vitabu vyenu ndiyo maana hawajulikani waandishi wa Vitabu vyenu na bado mnaviamini.
Sasa kipi bora kati ya tarjama na maneno ya asili ?
Ukijibu maswali niliyo kuuliza, unistue nije kuendelea hapa nilipo ishia.
4;16. If two men among you are guilty of lewdness, punish them both. If they repent and amend, Leave them alone; for Allah is Oft-returning, Most Merciful.
Tafsir al-Jalalayn 4:16 .... act adultery or homosexual intercourse punish them both with insults and beatings with sandals;
Sasa unapo jibu kawabishie al jalalayn usinihusishe kabisa
Watukane jalalayn kwa kupotosha maandiko yenu