Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Misingi ya kujikomboa hasa kifikra inataka tuwe na vigezo vinavyojitgemea. Kigezo cha kufananish n wengjne kinaleta shida kwani wewe ni wewe na yeye ni yeye. Hii ideology ya kuangalia maendeleo ya ulaya kwenye engo yoyote ile inaleta shida kwan ndo inaleta utegemez na white superiority!KWa hiyo ulitaka ujilinganishe na mchovu mwenzio?ukitaka kupiga hatua nzuri lazima uangalie aliyekuzidi na siyo masikini mwenzako
Ufisadi wa kutisha na wizi wa mali za umma ndio zao la UD ndio maana nchi ipo hapaMnaosema amekosea tuonesheni kitu chochote kilichotokana na zao la UDSM,
Define kushindwa bila neno "chini/juu ya uwezo".. hili jambo liko ndan ya uwezo ila maslah yanawabanaNdiyo kushindwa huko
Vipoo mfano ni JoblesMnaosema amekosea tuonesheni kitu chochote kilichotokana na zao la UDSM,
Mwamba angekua kasoma SAUT tungesema ana wivu lakini kapiga shule Oxford na Havard hivo hakuna wa kumtisha ana elimu level ya kidunia popote anaweza kufanya kazi zakeHaya mliosoma UDSM wale ambao mnafundishwa na Maprofesa wa Jalapani njooni mbishie huyu mwamba hapa 👇
View: https://twitter.com/Kiganyi_/status/1819058323817189606?t=VQfILn-OwC6pfb5CaCCcgw&s=19
Ukipewa mifuko 10 ya saruji usakafie darasa, ukaiba mifuko 5 baada ya mwezi sakafu ya darasa limefumuka, tukuweke kwenye kundi ganiDefine kushindwa bila neno "chini/juu ya uwezo".. hili jambo liko ndan ya uwezo ila maslah yanawabana
"Tamaa mbele, Mauti nyuma" sio walioshindwaUkipewa mifuko 10 ya saruji usakafie darasa, ukaiba mifuko 5 baada ya mwezi sakafu ya darasa limefumuka, tukuweke kwenye kundi gani
WanasiasaMnaosema amekosea tuonesheni kitu chochote kilichotokana na zao la UDSM,
Muhimbili ndio walau Huwa kipo kwenye list inafuata Ardhi na SokoineKama udsm ni cha kata basi vyuo vingine Tanzania vitakuwa via kijiji na kitongoji
Kwanza ukiwa abroad vyuo vikuu via Tanzania vinavyotambuliwa na jumuia za kimataifa cha kwanza kabisa ni UDSM, then SUA na muhimbili. Mfano researcher kutoka vyuo vya nchi zilizoendelea wakitaka research fellows huwa wanafikia kwanza UDSM alafu ndo waelekezwe kwamba waelekee vyuo gani watapata fellows wa theme husika.
Sasa wewe endelea kuliamini Hilo vuvuzela
Afadhali hajaitaja makerere, ningeumia sana, lakini Kwa UD ni sawa ni kachuo ka kataNinarudia tena anaye underestimate nguvu ya UDSM Hapa nchini huyo hajui Mambo.
SEMA nini mambo ya siasa yanaingizwa Sana kwenye uendeshaji wa vyuo
UDSM inaanzaMuhimbili ndio walau Huwa kipo kwenye list inafuata Ardhi na Sokoine
Sasa wasipo vitambua hivyo vyuo watatambua vipi? Hivyo si ndo vyuo vikubwa hapa tanzania?Kama udsm ni cha kata basi vyuo vingine Tanzania vitakuwa vya kijiji na kitongoji
Kwanza ukiwa abroad vyuo vikuu via Tanzania vinavyotambuliwa na jumuia za kimataifa cha kwanza kabisa ni UDSM, then SUA na muhimbili. Mfano researcher kutoka vyuo vya nchi zilizoendelea wakitaka research fellows huwa wanafikia kwanza UDSM alafu ndo waelekezwe kwamba waelekee vyuo gani watapata fellows wa theme husika.
Sasa wewe endelea kuliamini Hilo vuvuzela
Hata ulipokuwa unasoma advance (kama ulisomea tz) dream yako kubwa ilikuwa ufanye vizuri ili uingie UDSM sasa ndo uelewe kwamba wakati UDSM kinakuwa cha kata vyuo vingine Hapa Tanzania vinakuwa vya kitongojiAfadhali hajaitaja makerere, ningeumia sana, lakini Kwa UD ni sawa ni kachuo ka kata
Toa ujinga hapa Kila mwaka ranking za Vyuo zinatolewa UDSM Yako uliyokariri haipoUDSM inaanza
Naongea na facts zio kwa kubahatisha
UDSM baba laooo hata dunia inajua hilo