The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hakuna tofauti kubwa kimsingi kwa sababu hizi nchi mbili tofauti kila nchi inaangalia namna nzuri ya kufanya mambo yake hivyo si lazima tufanane kila kitu hata kama kuna maboresho yanatakiwa kufanyika kwa Tume yetu ya uchaguzi ni sawa lakini sio kutaka tufanane kila kitu. Hata hao kenya nao wana changamoto vilvile ndio maana Odinga alienda mahakamani kulalamika kuwa ameibiwa kura ingekua mfumo wao ni mzuri kiasi hicho usingesikia malalamiko yoyote.hakuna tofauti kubwa
Nadhani haina tofauti na wewe unavyotafsiri hiyo kauli yake. Katiba ya Kenya imetoa mamlaka kwa Tume ya Kenya kwa namna ilivyoonelea inafaa sambamba na Katiba ya Tanzania ilivyokasimisha mamlaka kwa Tume ya Tanzania.Akiongea na kituo kimoja cha redio hapa nchini, mkurugenzi msaidizi wa elimu ya mpiga kura kuhusu tathimini yake ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni nchini Kenya, amesema hakuna tofauti kubwa ya namna tume ya uchaguzi ya Kenya inavyotekeleza hilo jukumu na tume yetu.
Inaonekana huyu afisa ana jinsi yake ya kutafsiri mfanano.
Fuatilia vizuri halafu uje na maelekezo ya kujitosheleza kuwa Chebukati aliteuliwa na nani?Watanzania tuache kujiaibisha kwa kulinganisha giza na NURU.Tume ya tanzania na wakurugenzi wote ni makada wa chama kimoja.labda mtwambie Yule mwenyekiti wa iebc alichaguliwa na Kenyatta ndo mtakuwa na hoja.vinginevyo ni kama unalinganisha mtoto wa darasa la saba na chuokikuu.
huyo anawaza kwa kutumia makalio badala ya kichwaAkiongea na kituo kimoja cha redio hapa nchini, mkurugenzi msaidizi wa elimu ya mpiga kura kuhusu tathimini yake ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni nchini Kenya, amesema hakuna tofauti kubwa ya namna tume ya uchaguzi ya Kenya inavyotekeleza hilo jukumu na tume yetu.
Inaonekana huyu afisa ana jinsi yake ya kutafsiri mfanano.
Fuatilia vizuri halafu uje na maelekezo ya kujitosheleza kuwa Chebukati aliteuliwa na nani?
Acha unafiki, kuwa mkweli uwe huru. Wewe ni mtumwa wa mfumo unaolindwa na tume hii ya mwenyekiti wa ccm.Hakuna tofauti kubwa kimsingi kwa sababu hizi nchi mbili tofauti kila nchi inaangalia namna nzuri ya kufanya mambo yake hivyo si lazima tufanane kila kitu hata kama kuna maboresho yanatakiwa kufanyika kwa Tume yetu ya uchaguzi ni sawa lakini sio kutaka tufanane kila kitu. Hata hao kenya nao wana changamoto vilvile ndio maana Odinga alienda mahakamani kulalamika kuwa ameibiwa kura ingekua mfumo wao ni mzuri kiasi hicho usingesikia malalamiko yoyote.
Rejea hata uchaguzi wa Marekani ambao ndio wanajiita mapapa wa demokrasia Trump nae alilalamika sana kuwa ameibiwa kura kwa hiyo tusitake copy and paste toka kenya hata Ruto wakati anatoa hotuba yake juzi alisema atazidi kuimarisha Tume yao maana yake ni kuwa anaona kuwa ina mapungufu. Hali ya amani na utulivu tulio nao sasa haivi ni matokeo ya kazi iliyofanywa na hii hii Tume kwa hiyo tusiwe wanyonge kiasi hicho ila tushauri namna bora ya kuboresha utendaji wa Tume yetu.
Chebukati alipatikana kupitia mchakato wa kikatiba- was not handpicked by Kenyatta. Usifikiri Kenya ni kama Tanzania ambapo mwenye kiti wa ccm anateua mwenyekiti wa neck, igp, majajii etc. Kenya wana judicial service commission, police service commission etc ambapo watu wanaotaka nafasi kama hizo wanaomba (application), wanapitia mchujo mkali (rigorous vetting), hatimae wanapatikana watu waadilifu na wasioegemea upande wote wanawekwa ofisini. Rais anapelekewa jina Moja au mawili kwaajili ya 'uteuzi rasmi'. Maofisa Hawa Wana kuwa huru kweli, sio kama hapa watu wanapewa vyeo Kwa kuangalia uswahiba na ukada.Fuatilia vizuri halafu uje na maelekezo ya kujitosheleza kuwa Chebukati aliteuliwa na nani?
Hapa ndipo mnapoharibu sasa kwa hiyo mtu akiwapinga mnasema analindwa na mfumo? acheni uzwazwa andikeni mambo ya msingi kama mtaendela kuandika vihoja tutavikataa hatupaswi kuunga mkono kila kitu hata kama si sawaAcha unafiki, kuwa mkweli uwe huru. Wewe ni mtumwa wa mfumo unaolindwa na tume hii ya mwenyekiti wa ccm.
Sasa hapa unakwepa nini? Kwa hiyo anaeteua Mwenyekiti wa Tume ni nani? unataka tena tuanze kubishana? au bado hujajua kuwa umejijibu?Rais anapelekewa jina Moja au mawili kwaajili ya 'uteuzi rasmi
hii ndio nini manake hakuna taasisi kama hii nchii hiineck
Wewe kataaHapa ndipo mnapoharibu sasa kwa hiyo mtu akiwapinga mnasema analindwa na mfumo? acheni uzwazwa andikeni mambo ya msingi kama mtaendela kuandika vihoja tutavikataa hatupaswi kuunga mkono kila kitu hata kama si sawa
Soma taratibu mwanzo mpaka mwisho utaelewa.Hapa ndipo mnapoharibu sasa kwa hiyo mtu akiwapinga mnasema analindwa na mfumo? acheni uzwazwa andikeni mambo ya msingi kama mtaendela kuandika vihoja tutavikataa hatupaswi kuunga mkono kila kitu hata kama si sawa
Sasa hapa unakwepa nini? Kwa hiyo anaeteua Mwenyekiti wa Tume ni nani? unataka tena tuanze kubishana? au bado hujajua kuwa umejijibu?
Nilimaanisha NEC (tume ya taifa ya uchaguzi). You seem to take advantage of (my) typing error. Polehii ndio nini manake hakuna taasisi kama hii nchii hii
Hapa ndipo mnapoharibu sasa kwa hiyo mtu akiwapinga mnasema analindwa na mfumo? acheni uzwazwa andikeni mambo ya msingi kama mtaendela kuandika vihoja tutavikataa hatupaswi kuunga mkono kila kitu hata kama si sawa
Sasa hapa unakwepa nini? Kwa hiyo anaeteua Mwenyekiti wa Tume ni nani? unataka tena tuanze kubishana? au bado hujajua kuwa umejijibu?
Unachomaanisha hapa ni kipi.maana unazunguka zunguka tu ili kutaka kutetea mambo mabaya.Hakuna tofauti kubwa kimsingi kwa sababu hizi nchi mbili tofauti kila nchi inaangalia namna nzuri ya kufanya mambo yake hivyo si lazima tufanane kila kitu hata kama kuna maboresho yanatakiwa kufanyika kwa Tume yetu ya uchaguzi ni sawa lakini sio kutaka tufanane kila kitu. Hata hao kenya nao wana changamoto vilvile ndio maana Odinga alienda mahakamani kulalamika kuwa ameibiwa kura ingekua mfumo wao ni mzuri kiasi hicho usingesikia malalamiko yoyote.
Rejea hata uchaguzi wa Marekani ambao ndio wanajiita mapapa wa demokrasia Trump nae alilalamika sana kuwa ameibiwa kura kwa hiyo tusitake copy and paste toka kenya hata Ruto wakati anatoa hotuba yake juzi alisema atazidi kuimarisha Tume yao maana yake ni kuwa anaona kuwa ina mapungufu. Hali ya amani na utulivu tulio nao sasa haivi ni matokeo ya kazi iliyofanywa na hii hii Tume kwa hiyo tusiwe wanyonge kiasi hicho ila tushauri namna bora ya kuboresha utendaji wa Tume yetu.