Afisa wa tume: Tume yetu ya uchaguzi haina tofauti na ya Kenya

Hawezi kukitia mchanga kitumbua chake !! Ulitegemea aseme tofauti ipo kubwa ?? Sio Dunia ya tatu Mkuu !!
 
Tume ya Kenya ni ya kusimamia uchaguzi na ya kwetu ni ya kusimamia wizi wa kura
 
Ww utakuwa ni afisa wa hii tume ya uchaguzi inayoratibu chaguzi za kishenzi kwenye nchi hii. Hapa kwetu tume yetu huwa haisimamii uchaguzi, bali husimamia maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Kenya tume inaburuzwa mahakamani,je hapa inaburuzwa?aseme hiyo si tofauti?
 
Kwamba Wajumbe wote ni Binadamu
 
Utofauiti ni kwamba matokeo Tanzania yanatangazwa kwa kadri yanavyopolewa lakini hayaoneshwi moja kwa moja kwenye runinga hadi yanapojumuishwa kwa pamoja na matokeo yakishatangazwa na tume hayapingwi sehemu yoyote mpaka mahakani wakati Kenya matokeo yanatangazwa kwa kadri yanavyohesabiwa huku yakioneshwa moja kwa moja kwenye runinga pia matokeo yanapingwa mahakani. Hata hivyo mahakama ya upeop ikishatoa uamuzi hakuna nafasi ya rufaa!!!! Maajabu ya dunia
 
"Alisikia mlevi mmoja akisema"
 
Malalamiko ni tabia ya binadamu hivyo, uzuri na ubora wa tume haupimwi kwa kukosekana kwa malalamiko ya aliyeshindwa/aliyeshinda bali hupimwa kwa kupima wingi wa malalamiko ya "wapiga kura".
 
Muache ujinga Tanzania hakuna tume ya uchaguzi.Kama mnataka tume waondoe watendaji wa kata na wakurugenzi wa halimashauri.wekeni watumishi waliopatikana kihali.
Malalamiko ni tabia ya binadamu hivyo, uzuri na ubora wa tume haupimwi kwa kukosekana kwa malalamiko ya aliyeshindwa/aliyeshinda bali hupimwa kwa kupima wingi wa malalamiko ya "wapiga kura".
 
Kwa mfano Sasa hivi wametangaza kazi za makatibu wakuu wa wizara waanze kutuma maombi watu wenye sifa
 
Kuna tofauti kubwa sana.
Tume ya Kenya inasimamia uchaguzi na ya Tanzania inasimamia uchafuzi.
 
1.Tanzania tume ya uchaguzi huundwa kwa matakwa ya rais(mwenyekiti wa CCM).
2.Tanzania vyombo vya dola vinaiongoza tume ya uchaguzi.
3.Tanzania,wakurugenzi ndio wasimamizi wakuu wa uchaguzi majimboni.
4Tanzania inaongozwa na chama kilichopigania uhuru.

Ongezeeni na nyie tofauti za kiuchaguzi kati ya Tanzania na Kenya.
 
Assume kuwa babu tale ndie mbunge wako!
 
Tume zote linatekelezwa majukumu yake kwa mujibu wa katiba na sheria zake isipokuwa tunatifautiana kwenye maneno machache ambayo nayo yanatekelewa kwa mujibu wa katiba na sheria zilizotungwa kwa maslahi ya nchi husika
We unaejifanya unajua kumbe ndo zwazwa kabisa.
 
ACHA UONGO
 
(rigorous vetting),
have you ever witnessed this? au unasikia tu vijiweni? vetting ni vetting na ndio utaratibu unaotumiwa kila mahali
Kenya tume inaburuzwa mahakamani,je hapa inaburuzwa?aseme hiyo si tofauti?
Nikukumbushe tu kuwa hata hao kenya baada ya mahakama ya upeo kutoa uamuzi hakuna mahakama nyingine tena yenye uwezo wa kuhoji na ndipo alipoishia Odinga. Kama wana uhuru wa kiasi hicho si wangeruhusu mlalamikaji kukata rufaa baada ya mahakama ya upeo? Watz sijui nani katuloga kiasi kwamba kila tunachokifanya wenyewe tunakiona hakifai. Ndio maana mara zote nasema suala la msingi ni kutoa maoni na mapendekezo ya namna ya kuboresha ya kwetu lakini sio kuabudu vya watu ambavyo hata wenyewe hawavitaki leo wafuasi wa Odinga wote wanalia na uhuru wa Tume yao halafu sisi huku ndio tuko busy kuililia hiyo nadhani hata wao wanatuona mazwazwa wa kiwango cha lami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…