AFL: Esperence De Tunis Vs Tp Mazembe | 2nd leg | Stadium: Stade Olympique Hammadi Agrebi | 26.10.2023

AFL: Esperence De Tunis Vs Tp Mazembe | 2nd leg | Stadium: Stade Olympique Hammadi Agrebi | 26.10.2023

Mazembe hataki unyonge anacheza kama yeye ndo yupo nyumbani
 
Game ya kiume hii, hapa atakufa mtu kiume
 
Hawa Esperance wana mpira wa kawaida mno, Muda mwingi ni kujilaza chini na kulalama kwa Mwamuzi
 
Refa kawanyonga Mazembe, move ya goli imetokana na foul
 
Hawa Esperance wana mpira wa kawaida mno, Muda mwingi ni kujilaza chini na kulalama kwa Mwamuzi
Waarabu walishatoka kitambo sana kwenye mipira ya aina hiyo, haukuona jinsi Morocco ilivyofika nusu fainali kombe la dunia?
Screenshot_2023-10-26-19-48-01-94_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Simba ipewe heshima yake kupata draw na Al ahly ugenini timu namba moja Africa, mazembe ana chapika na timu namba 4 kwa ubora Africa [emoji23]
 
Back
Top Bottom