Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya ngapi Chifu?Wamekosa kamba ya wazi sana
Dakika ya ngapi Chifu?Game ya kiume hii, hapa atakufa mtu kiume
76
Nilitabiri yametimiaTp mazembe anapigwa sio chini ya goli tatu hapa leo
Waarabu walishatoka kitambo sana kwenye mipira ya aina hiyo, haukuona jinsi Morocco ilivyofika nusu fainali kombe la dunia?Hawa Esperance wana mpira wa kawaida mno, Muda mwingi ni kujilaza chini na kulalama kwa Mwamuzi
Kweli Kafa kiume chuma Tatu [emoji1787]Game ya kiume hii, hapa atakufa mtu kiume