Huyu Golikipa wa Ghana ndo katumaliza kabisa, penati kumi kashindwa kuchez hata moja na ya kwake kamplekea Barry mkononi.
Hongera Ivory Coast, hongereni wote mliokuwa mnashabikia Ivory Coast.
Hapa Paris makelele utafikiri tupo Abdjan,Bravo la Cote d'ivoire,les ivoiriens
Hapa Paris makelele utafikiri tupo Abdjan,Bravo la Cote d'ivoire,les ivoiriens
mpaka hapa Ghana wamechukua
Lijalo naona kabisa Nadir Haroub akinyanyua kikombe pale
hahaha niliona dalili,ila ndo hivyo wa ivory coast wamechukua​Kwi kwi kwi kwi kwi mie nilidhani kama weye lol!!!
Lijalo naona kabisa Nadir Haroub akinyanyua kikombe pale
Analia kama mtoto,kasahau alipopata penaly yake akamtambia Barry,sasa na yeye yamemkuta,Barry kachukua kombe yeye kabaki na machoziAndrew Ayew ni drama Queen kweli huyu.