Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Hongera Ivory Coast, hongereni wote mliokuwa mnashabikia Ivory Coast.
 
Hapa Paris makelele utafikiri tupo Abdjan,Bravo la Cote d'ivoire,les ivoiriens
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongereni sana CIV hakika mlistahili ila ndo ilibidi mlipate kombe hili kwa machozi.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera kwa Tembo wa Africa kwa kweli mlistahili.

Pole kwa Ghana, jiandaeni kwa mashindano yajayo bado MNA kikosi cha vijana wadogo.

Shukrani kwa waandaaji Equatorial Guinea pamoja na dosari zilizojitokeza kiukweli mmeweza.

Ahsante ni wadau wote wa jf.
 
Lijalo naona kabisa Nadir Haroub akinyanyua kikombe pale

Aiseee!!!!!! Hili kombe sijui kama litakuja kutua kwenye nchi za CECAFA, labda kama West Africa na North Africa wajitoe, lakini bado ukanda wa COSAFA nao wanatusumbua sana. Mimi nadhani maji Bahari ya Hindi yana tatizo.
 
Andre Ayew anapewa zawadi yake ya ufungaji bora. Ingawa kafungana na wachezaji wenzake watano anapewa zawadi kwa kuwa na assists nyingi.

Kwesi Appiah anapewa zawadi yake ya Fair Play
 
Back
Top Bottom