Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa taarifa, endelea kutiririka. Wakongo hatari wamewalokotesha ku nyavu!
Mkuu tupo, chama langu la Zambia limeshindwa kufurukuta mbele ya wakongo wa Kabila.
Mkuu tupo, chama langu la Zambia limeshindwa kufurukuta mbele ya wakongo wa Kabila.
Tena wengine hawapatikani humu mpaka wasikie simba imeshinda, hebu angalieni mpira wa watu wanaojua sio kila siku kelele kwa kumsifia mkude wakati hata hajawahi kupata offer ya kwenda kufanya majaribio hata fc leopard au tp mazembe???? acha akina Bolasie wafanye mambo ninyi bakini na sserunkuma wenu.
Hamia cape verde chama la wana, hao zambia wamechoka sasa, karibu sana mkuu Masuke uone mwarabu wa Tunisia atavyopigwa nyingi.
CC. Masuke, ilimela iti li gongola.
Tena wengine hawapatikani humu mpaka wasikie simba imeshinda, hebu angalieni mpira wa watu wanaojua sio kila siku kelele kwa kumsifia mkude wakati hata hajawahi kupata offer ya kwenda kufanya majaribio hata fc leopard au tp mazembe???? acha akina Bolasie wafanye mambo ninyi bakini na sserunkuma wenu.
Nang'hana nio lyashoka mkaya, nguno uluumela ming'wana akunge nulugutobolwa miso.
Obheja namhala, bhujikhu ng'waka, leka nagadelengeje banigini.
Maana yake? Nimejaribu Google translator ina'respond' "Filipino detected", lakini inashindwa kutafsiri.
VPL Mtibwa 1 JKT Ruvu 1
Coastal 0 Polisi Moro 0