Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Senegal are the first team to qualifyfor Quater final.After beating Zimbabwe 2-0.
[HASHTAG]#AFCON2017[/HASHTAG]
 
Top scorers In #Afcon2017Gabon#
Aubameyang - 2
Riyad Mahrez - 2
Sadio Mane - 2
 
Kalidou Koulibaly (Napoli)
Idrissa Gana Gueye (Everton)
Cheikhou Kouyate (West Ham)
Papakouli Diop (Espanyol)
Mohamed Diame (Newcastle)
Sadio Mane (Liverpool)
Keita Balde Diao (Lazio)
Mame Biram Diouf (Stoke)
Moussa Sow (Fenerbahce)
 
hili kombe MISRI walifanyia tambiko hivyo akitoka misri naanza kubet bingwa lakini ngoja nione leo.
 
UGANDA wako vizuri sana basi tu mambo ya soka. Game ya kwanza waliwakabili Ghana na 50/50 ball position hadi lile tuta. Na hapa naona mafarao wamebanwa hadi kipindi cha kwanza UG wamekuwa na psoition kubwa.53/47....hii mechi wakitoa suluhu ama wakishinda basi naona wataendelea na hatua inayofuata....kwani Ghana keshapenya
 
tumepga Mpira mwingi kwa sauti ya Jeri muro, kashalia mtu huko hakuna cha juuko mushird wala faru John miya
 
Safi sana MISRY lazima heshima irudi...piga hao watoto hawana mpango...
 
Zimbabwe 2- 4 Tunisia
[emoji460] N. Sliti 9'
[emoji460] Y. Msakni 22'
[emoji460] Y. Khenissi 36'
[emoji460] K. Musona 42'
[emoji460] W. Khazri 45'(p)
[emoji460] T.Ndoro 58'
Full-Time #AFCON2017GABON#
 
Senegal 2 - 2 Algeria
[emoji460] I. Slimani 10' 52'
[emoji460] P. Diop 43'
[emoji460] M. Sow 53'
Full-Time #AFCON2017GABON#
 
Kaizer Chiefs midfielder Willard Katsande has reportedly retired from international football following Zimbabwe's AFCON2017 exit
 
Najalibu kujiuliza Timu ya taifa ya Congo kufuzu kuongoza kundi lake 2017 na hasa alikua na bingwa mtetezi Ivory Coast, Morroco lakini amefanikiwa kupenya na kuongoza uongozi wao wamewekeza kuhakikisha timu yao kutokua kichwa cha mwendawazimu tena hili ni funzo kwa TFF mbona mipango yao haionekani hebu acheni kupigania kupachikaviongozi ktk mikoa ili mje mchaguliwe kuwa viongozi, ukiangalia uchaguzi unavyoendelea kwenye mikoa ndivyo unavyoona tunasafari ndefu kufanikisha timu yetu kuweza kushiriki mashindano haya makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…