Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona misri enzi zao za hili kombe zilishapukutikahili kombe MISRI walifanyia tambiko hivyo akitoka misri naanza kubet bingwa lakini ngoja nione leo.
tumepga Mpira mwingi kwa sauti ya Jeri muro, kashalia mtu huko hakuna cha juuko mushird wala faru John miyaUGANDA wako vizuri sana basi tu mambo ya soka. Game ya kwanza waliwakabili Ghana na 50/50 ball position hadi lile tuta. Na hapa naona mafarao wamebanwa hadi kipindi cha kwanza UG wamekuwa na psoition kubwa.53/47....hii mechi wakitoa suluhu ama wakishinda basi naona wataendelea na hatua inayofuata....kwani Ghana keshapenya
Noma sanatumepga Mpira mwingi kwa sauti ya Jeri muro, kashalia mtu huko hakuna cha juuko mushird wala faru John miya
Morocco,Tunisia,egypt natumai zitaleta wonders
Hapo Natamani liende kwa mafarao
Senegal.