Pole mkuuMisr mmeniboa sana
HahahaNaona leo Misri wanafanyiwa kile ambacho huwafanyia wenzao kwa kujiangusha angusha angusha!
Waa Africa weus wameinukaOyoooo.
Abuuuuu anabakisha kombe hapa
Looh afadhali
Dhaaa nshapoa mkuuPole mkuu
Hahahaha
HahahaDhaaa nshapoa mkuu
Away hongera
Leo kuna atakae
Pata ucngz
Mwingne n kuhesabutu mabat
Ujue walianza kama hawataki hivi kuchukua kombe lakin tz gud wameshindaWakameruni walitakiwa wachukue ubingwa tangu dakika 45 za mwanzo, lakini nguvu nyingi kuliko maarifa ndio iliyopelekea hii game kuwa ngumu.
Hivi bado wana ile style yao ya miguvu mingi akili kiduchu?Wakameruni walitakiwa wachukue ubingwa tangu dakika 45 za mwanzo, lakini nguvu nyingi kuliko maarifa ndio iliyopelekea hii game kuwa ngumu.
Dhaaaa tusubirieHahaha
Siyo mbaya
Nadhani mwakani Kombe la Dunia uta enjoy
Hivi bado wana ile style yao ya miguvu mingi akili kiduchu?
Wananiudhigi sana kwa hilo