Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Shida ni hii interval kuhama miaka shufwa kuja witiri, lakini pia miaka hii ndo ilitarajiwa kuwa na mvuto kuliko enz za akina olembe, lualua etc cha ajabu Hanna vipaji, hamna real talents, wachezaji walobaki wana mipira ya darasani sio natural talent
 
Shida ni hii interval kuhama miaka shufwa kuja witiri, lakini pia miaka hii ndo ilitarajiwa kuwa na mvuto kuliko enz za akina olembe, lualua etc cha ajabu Hanna vipaji, hamna real talents, wachezaji walobaki wana mipira ya darasani sio natural talent


Hapo kwenye black'

Wenye real Talents kwa afrika ni ALGERIA,TUNISIA, EGYPT na NIGERIA kwa mbali..Ghana miaka ya hivi karibuni walikuwa wazuri ghafla wakadrop..lkn hao niliokutajia hapo juu ni mashine ile mbaya usiombe ukutanenao...


EGYPT-ALGERIA' Final

EGYPT bingwa
 
Wachezaji watakao kosekana katika timu zao ligi kuu ya uingereza.

Arsenal - Mohamed Elneny (Egypt)

Bournemouth - Benik Afobe (DR Congo), Max Gradel (Ivory Coast)

Burnley - None

Chelsea - None

Crystal Palace - Bakary Sako (Mali)

Everton - Yannick Bolasie (DR Congo), Idrissa Gueye (Senegal), Oumar Niasse (Senegal)

Hull City - Dieumerci Mbokani (DR Congo), Ahmed Elmohamady (Egypt)

Leicester: Riyad Mahrez (Algeria), Islam Slimani (Algeria), Jeffrey Schlupp (Ghana), Daniel Amartey (Ghana)

Liverpool - Sadio Mane (Senegal)

Manchester City - None

Manchester United - Eric Bailly (Ivory Coast)

Middlesbrough - Adama Traore (Mali)

Southampton - Sofiane Boufal (Morocco)

Stoke City - Wilfried Bony (Ivory Coast), Mame Biram Diouf (Senegal), Ramadan Sobhi (Egypt)

Sunderland - Didier Ndong (Gabon), Lamine Kone (Ivory Coast), Wahbi Khazri (Tunisia), Papy Djilobodji (Senegal)

Swansea City - None

Tottenham Hotspur - None

Watford - Nordin Amrabat (Morocco), Adlene Guedioura (Algeria)

West Bromwich Albion - Allan Nyom (Cameroon)

West Ham United - Diafra Sakho (Senegal), Cheikhou Kouyate (Senegal), Andre Ayew (Ghana)
 
Mkuu hata Congo pia ina wachezaji wazuri wenye vipaji
 
Mi sielewi yani Zimbabwe hali mbayaa lakin jamaa tangu zamani tu zinajitahidi sana kuingia AFCON, why not us jamani....?!what should we do....?!!!! Inauma saana bwana loh
 
Ofcoz Mkuu Lizarazu! japo sijawafuatilia kwa vizuri..
Yeah... Hawana majina sanalakini timu yao iko well organized ikiundwa na vipaji haswaa.

Alafu hawana shobo na kuchezea ulaya sababu ya malezi bora waliyonayo kwenye vilabu vyao
 
Ingawa wabongo mpira tunaupenda sana na wenyewe ni kama tumeshindwa kuutunza. acha TUFUATILIE yanayotokea Gabon.....

Ufunguzi unaendelea....ila Diamond hajapanda bado....manake ndio aliyekabidhiwa bendera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…