Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
True wengine wana roho za uuaji hadi kupewa u-DC kama fadhila ya kutishia kuwauwa wapinzani.Ni kweli kabisa! Imagine, mtu alikuwa mwizi wa magari sugu - halafu anakuwa mbunge na kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama!
Maana yake, karata zikichangwa vingine kuna uwezekano hata wa kuukwaa uraisi! Imagine! Na wakati wote tunajua hizo tabia zao! Sasa kiko wapi si amekimbia mwenyewe?
Wenzetu wapo makini na ufanya vetting ya kutosha kujua Hadi jinsi ulivyolelewa. Lengo kuu ni kuepusha watawala wezi, wauaji,waua uchumi.primitive, uncivilized,nk.
Kosa la Trump ni kutokuja Afrika kujifunza wizi wa kura.
Nililenga Tanzania has a kama reference point/country, machunhu yananifanya kusahau. Niliilenga Tanzania nika avoid kuiweka kwenye heading maana wangelifuta Uzi.Mbona hujaitaja Tanzania?
In Tanzania, nashangaa nimei skip maana reference yangu in TanzaniaNakubaliana na wewe lakini nchi moja hukuitaja kwa makusudi. Nchi hii hii tunayoishi.
Ongeza Tanzania hapo kwenye maelezo,hakuna wa kufuta uzi kwa sababu hayo ni maoni yakoNililenga Tanzania has a kama reference point/country, machunhu yananifanya kusahau. Niliilenga Tanzania nika avoid kuiweka kwenye heading maana wangelifuta Uzi.
Huu sio ushauri mzuri, uongozi unatakiwa uondolewe madarakani kwa mujibu wa katiba kama haufai. Njia pekee ni boksi la kura.Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
...., until when we support each other. Ungesema ukombozi wa ki fikra, not otherwise. Most of us we are not free my friend, we have muzungu mentality, and mara nyingi compare etc wazungu mpaka our blood children know muzungu is better than black. Dkt Magufuli ni mtu pekee anajaribu kutukomboa toka utumwani.Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]In Tanzania, nashangaa nimei skip maana reference yangu in Tanzania
You are wright. We see the trend from the time series.Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Hiki si kitu kizuri, ombea mambo mengine . Tuachie Tanzania yetuwazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Acha ujinga wewe. Unaposema hiki siyo kitu kizuri una maana gani??Hiki si kitu kizuri, ombea mambo mengine . Tuachie Tanzania yetu
P.W. Botha was correct by 99.99999%. See what is happening now in South Africa and the rest of Africa Tanzania included.....!!!Kosa kubwa ni la wapigania Uhuru walitengeneza mifumo ya kuendelea kutawala na sio kuongoza.
View attachment 1638802