African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Kwenye hii draw game nzuri ni moja tu

Na ndio sababu CAF waliamua kuiweka Simba iwe mwenyeji na mfunguzi wa mashindano kwasababu waliangalia timu ya kum challenge Al Ahly ni Simba tu.
 
Aahaaaaa,Ile ilikuwa ni bahati na sibu
 
Kwenye hii draw game nzuri ni moja tu

Na ndio sababu CAF waliamua kuiweka Simba iwe mwenyeji na mfunguzi wa mashindano kwasababu waliangalia timu ya kum challenge Al Ahly ni Simba tu.
Simba haijawahi kumtoa Al Ahly, haijawahi kumzuia Al Ahly isibebe kombe. Sasa sijui ni kipi cha kujivunia mpaka useme ndio timu ya kum challenge Al Ahly
 
Ile Historia Ambayo Yanga Walikuwa Wanaibisha Ya Simba Kufika Fainal Imesomwa hapa na CAF

WAELEWE HILO
1693672438889.png
 
Back
Top Bottom