African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Simba haijawahi kumtoa Al Ahly, haijawahi kumzuia Al Ahly isibebe kombe. Sasa sijui ni kipi cha kujivunia mpaka useme ndio timu ya kum challenge Al Ahly
Ahaaaa,anajifariji,walifikiri watakutana na kilaza
 
Al Ahyl shikamoo I in advance
Alishakufa mara kibao hadi kuna mwaka alishika nafasi ya pili kwenye group nyuma ya Simba

1693672813887.png
 
Kuna timu ilisajili mchezaji wa Newcastle ili walingane ukubwa na Simba lakini wameishia kupata ban ya kufungiwa na FIFA.
 
Ila ubingwa alichukua nani!?
Mtabaki kuishia robo miaka nenda rudi
Hivi unajua Yanga kupitia kwa rais na msemaji wa klabu wametamka hadharani studio za Wasafi FM kuwa malengo yao mwaka huu 2023 katika michuano ya kimataifa ni kufika hatua ya makundi ya CAF Champions League?
 
Simba haijawahi kumtoa Al Ahly, haijawahi kumzuia Al Ahly isibebe kombe. Sasa sijui ni kipi cha kujivunia mpaka useme ndio timu ya kum challenge Al Ahly
Simba ya sasa hivi sio hiyo ya miaka ile ambayo wewe unaizungumzia hapa.

Simba tulimnyima utulivu Al Ahly tukampigia mpira mwingi kwao tukamfanya apaki bus

Pitso mwenyewe aliwahi ku declare kuwa "Africa hii hakuna sehemu ngumu kupata matokeo kama Tanzania dhidi ya mpinzani Simba"
 
Caf cup finalist in 1993. Kwani kilichokuwa kinabishiwa ni Simba kutocheza fainali ya caf cup?
Ndio walikuwa wanasema eti hayakuwa mashindano ya caf, yalikuwa mashindano ya Moshood Abiola wakati ni kitu kile kile, sema huyo alikuwa mdhamini ndio mashindano yakapewa jina lake
 
Back
Top Bottom