African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Kama ni makombe ya maana hata ninyi hamna, hapo kinachotaka kuoneshwa ni kwamba hamna sehemu yanga kafika ambapo simba hajafika kitu ambacho mlikuwa mnabisha awali, ilihali zipo sehemu ambazo simba kafika ila yanga bado hajafika
Ongeza sautii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani mbele ya raisi wa FIFA Gianni Infantino afu utegemee kuona Simba inafungwa, haiwezi kutokea
 
Tulieni siku ya mechi mtaiona Simba halisi

Achana na hivi vimechi vya NBC ambavyo tunacheza kiuongo uongo
Yani mambo yako unanikumbusha yule waziri wa habari wa Saddam Hussein wa kuitwa Al Sahaf, maana alituaminisha Baghdad ndio kaburi la Wamarekani kumbe tayari Baghdad tayari imeshatekwa na Majeshi ya Marekani.
 
Unakubali,Hilo ndo la maana
Lini tulikataa bwashee, shida ni kwenu mliokuwa mnabisha kwamba mlipofika ninyi sisi bado hatujafika haya leo historia hiyo imesomwa mnajifanya kubadilisha kiswahili, sawa tunawasubiri na huku robo fainali ya cafcl ambako mnatubeza kila siku ilihali hamfahamu kunafananaje
 
We omba tu tusiingie makundi
 
Lini tulikataa bwashee, shida ni kwenu mliokuwa mnabisha kwamba mlipofika ninyi sisi bado hatujafika haya leo historia hiyo imesomwa mnajifanya kubadilisha kiswahili, sawa tunawasubiri na huku robo fainali ya cafcl ambako mnatubeza kila siku ilihali hamfahamu kunafananaje
Ongezaaa sautiii hadi viziwi wa Avic town kibonde maji wasikieee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom