Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Tarehe ishirini sio mbali,mtakimbiana tuuKuna timu ilisajili mchezaji wa Newcastle ili walingane ukubwa na Simba lakini wameishia kupata ban ya kufungiwa na FIFA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe ishirini sio mbali,mtakimbiana tuuKuna timu ilisajili mchezaji wa Newcastle ili walingane ukubwa na Simba lakini wameishia kupata ban ya kufungiwa na FIFA.
Mnawasikiliza watu wa hovyo ila lile kombe halijawahi kuitwa Abiola Cup na Yanga ameshiriki mara nyingi tu ila ilikuwa inatupwa hatua za awaliMashudu Abiola Cup
Ulitaka wasemaje,kwa hiyo nyinyi malengo yenu ni kuishia robo kila mwakaHivi unajua Yanga kupitia kwa rais na msemaji wa klabu wametamka hadharani studio za Wasafi FM kuwa malengo yao mwaka huu 2023 katika michuano ya kimataifa ni kufika hatua ya makundi ya CAF Champions League?
Anafurahia kuongoza ligi kwasababu ligi ndio shindano linaloebdelea kwasasa. Ila ajabu wewe unayesherekea hadi sasa kumfunga Al Ahly wakati kumfunga kwako haikumzuia Al Ahly kubeba kombe.Huwezi kuacha kufurahia matokeo. Utopolo leo wanafurahia mechi mbili za ligi kwa kuwa ndizo zilizopo kwa sasa, hakuna haja ya kukumbuka kuwa wiki mbili zilizopita wamefungwa na mnyama 😁
Lilikuwa linaitwaje?Mnawasikiliza watu wa hovyo ila lile kombe halijawahi kuitwa Abiola Cup na Yanga ameshiriki mara nyingi tu ila ilikuwa inatupwa hatua za awali
Hata utopolo walifurahia ball possession wakaishia kulalamika kipa kutokea penati kwa wiziAnafurahia kuongoza ligi kwasababu ligi ndio shindano linaloebdelea kwasasa. Ila ajabu wewe unayesherekea hadi sasa kumfunga Al Ahly wakati kumfunga kwako haikumzuia Al Ahly kubeba kombe.
AahaaaaAnafurahia kuongoza ligi kwasababu ligi ndio shindano linaloebdelea kwasasa. Ila ajabu wewe unayesherekea hadi sasa kumfunga Al Ahly wakati kumfunga kwako haikumzuia Al Ahly kubeba kombe.
Sasa makundi na robo fainali, kipi kipo juu?Ulitaka wasemaje,kwa hiyo nyinyi malengo yenu ni kuishia robo kila mwaka
Kwani unashindwa kusoma walichoandika na kutamka CAF leo?Lilikuwa linaitwaje?
Robo fainali,are you happy now!?Sasa makundi na robo fainali, kipi kipo juu?
Hata mwaka jana target ya kwanza ilikuwa makundi Shirikisho lakini yaliyotokea hamkuamini.Sasa makundi na robo fainali, kipi kipo juu?
Na ninyi malengo yenu ni yapi kwa mujibu wa rais wenu?Robo fainali,are you happy now!?
Taja jina la hiyo Michuano mliyofika fainaliKwani unashindwa kusoma walichoandika na kutamka CAF leo?
Mwaka jana mlishiriki Klabu Bingwa, na target inawekwa mwanzo kabisa. Target mliyosema ilikuwa ni makundi ya Klabu bingwa ila mkatolewa mapemaHata mwaka jana target ya kwanza ilikuwa makundi Shirikisho lakini yaliyotokea hamkuamini.
CAF wameshaitaja. Kama umepitwa na hilo, waulize utopolo wenzio waliofuatilia draw tangu mwanzo, akina KilimbatzzTaja jina la hiyo Michuano mliyofika fainali
Tunasubiri kuona mtakavyomtoa MwarabuMwaka jana mlishiriki Klabu Bingwa, na target inawekwa mwanzo kabisa. Target mliyosema ilikuwa ni makundi ya Klabu bingwa ila mkatolewa mapema
Mimi sijaangalia,nataka wewe unitajieCAF wameshaitaja. Kama umepitwa na hilo, waulize utopolo wenzio waliofuatilia draw tangu mwanzo, akina Kilimbatzz
USMA wanachekea chooni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kombe letu
Michuano gani, hii msioshiriki au ile mnayoshiriki? 😁Tunasubiri kuona mtakavyomtoa Mwarabu