African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

We omba tu tusiingie makundi
Haha kwani kuingia makundi ndio guarantee ya kubeba kombe, sasa kama kuingia makundi tu kunawashinda hiyo robo fainali si ndio itakuwa kizungumkuti sheikh wangu, sisi hatuna haja ya kuwaombea baya lolote ninyi ingieni tu hayo makundi muone mtafika wapi
 
Makundi kwanza,na nyie shindeni dhidi ya Power Dynamos
 
Niliwaambia Yanga ataanzia away mkabisha
Untitled-2.jpg
 
Sisi makolo tunafurahi kupangwa na Al ahly na tunashukuru mashindano haya kuanzia kwenye hatua tunayopenda kuishia hatua ya robo fainali, tukivuka hapo tupigwe faini kwa kuvuka malengo yetu.
 
Wale wala hawatuumizi vichwa mkuu, sisi tumekubali ni wazee wa robo fainali na tumeshawaonesha jinsi ya kutinga robo fainali cafcl, tunawasubiri ninyi 'mabingwa' sasa mkatuoneshe namna ya kubeba kabisa kombe hilo
Aahaaaaa
 
Halafu kombe akabeba aliyekufa. Kweli ujinga ni mzigo, mwenzio anabeba kombe wewe unafurahia kumfunga.
Huwezi kuacha kufurahia matokeo. Utopolo leo wanafurahia mechi mbili za ligi kwa kuwa ndizo zilizopo kwa sasa, hakuna haja ya kukumbuka kuwa wiki mbili zilizopita wamefungwa na mnyama 😁
 
Ndio walikuwa wanasema eti hayakuwa mashindano ya caf, yalikuwa mashindano ya Moshood Abiola wakati ni kitu kile kile, sema huyo alikuwa mdhamini ndio mashindano yakapewa jina lake
Pengine mlikuwa hamjui kinachoongelewa. Caf cup ilikuwa ni mashindano ya CAF lakini ni shindano la tatu baada ya shindano la klabu bingwa na kombe la shirikisho. Kombe la shirikisho ilikuwa inaitwa African cup winner's cup na klabu bingwa ilikuwa inaitwa African cup of champions clubs.
 
Back
Top Bottom