African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Halafu kombe akabeba aliyekufa. Kweli ujinga ni mzigo, mwenzio anabeba kombe wewe unafurahia kumfunga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna nyie kule kwa USMA, mlishinda na Kombe alichukua aliyefungwa? Tena jumla ya mabao ikiwa sawa.

Poleeee wee.
 
kuna mambo yananishangaza

1. Kwan hamjui kuwa port 1 alipaswa akutane na port 2, kama mlijua, mnahisi kwenye port 1 kuna kibonde? fact ni kwamba ili uwe mkubwa lazima upambane na mkubwa, ktk misim 5 hii simba kacheza na al ahly mech 4, simba kashinda 2 ahly kashinda 2. Hapo hashinda 1 dhid na WAC na kufungwa 1 na WAC, hivyo wanasimva kwa hayo wajue timu yao ni kubwa.

2. Kuna watu wanasema sawa CAF wamesema simba kacheza fainali lakin hana kombe la maana, kwan tanzania kuna tim ina kombe la maana huko CAF zaid ya kuongeza tu ubora kwenye rank ambap simba ndiye mbabe?

3. Kuna watu wanaisema haya ni mashindano ya viti maalumu, kwan si kuna vigezo vilitumika kuwapata viti maalumu, timu yako ilikidhi vigezo?



Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna nyie kule kwa USMA, mlishinda na Kombe alichukua aliyefungwa? Tena jumla ya mabao ikiwa sawa.

Poleeee wee.
Hiyo unazungumzia fainali je nyie mnafurahia kumfunga Al Ahly kwenye fainali? Mna mingapi hamkugusa fainali za CAF interclub championship?
 
Back
Top Bottom