African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Tutegemee aibu kubwa kwa taifa kutoka kwa vilaza hawa ni kama mkataba mbovu wa bandari
 
Kama ni makombe ya maana hata ninyi hamna, hapo kinachotaka kuoneshwa ni kwamba hamna sehemu yanga kafika ambapo simba hajafika kitu ambacho mlikuwa mnabisha awali, ilihali zipo sehemu ambazo simba kafika ila yanga bado hajafika
Hamna kombe ndo point ya msingi
 
Hii draw mi sijaielewa aisee.

Sasa mbona hizo timu zimewekwa kwenye vigoroli vyenye rangi ya timu.
Mfano simba imewekwa kwenye kigoroli chekundu kabisa, na bibie unaona kabisa kaaim kukichukua hicho cha kwanza.

Ni draw au ni kutangaza tu.
 
We ulitaka upangee na nani?
 
Back
Top Bottom