African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Hivi unajua Yanga kupitia kwa rais na msemaji wa klabu wametamka hadharani studio za Wasafi FM kuwa malengo yao mwaka huu 2023 katika michuano ya kimataifa ni kufika hatua ya makundi ya CAF Champions League?
Ulitaka wasemaje,kwa hiyo nyinyi malengo yenu ni kuishia robo kila mwaka
 
Huwezi kuacha kufurahia matokeo. Utopolo leo wanafurahia mechi mbili za ligi kwa kuwa ndizo zilizopo kwa sasa, hakuna haja ya kukumbuka kuwa wiki mbili zilizopita wamefungwa na mnyama 😁
Anafurahia kuongoza ligi kwasababu ligi ndio shindano linaloebdelea kwasasa. Ila ajabu wewe unayesherekea hadi sasa kumfunga Al Ahly wakati kumfunga kwako haikumzuia Al Ahly kubeba kombe.
 
Hata mwaka jana target ya kwanza ilikuwa makundi Shirikisho lakini yaliyotokea hamkuamini.
Mwaka jana mlishiriki Klabu Bingwa, na target inawekwa mwanzo kabisa. Target mliyosema ilikuwa ni makundi ya Klabu bingwa ila mkatolewa mapema
 
Back
Top Bottom