African leader taken ill, admitted to city hospital

Rais amekua mwari haonekani
 
Naweza kukubali kiongozi wangu labda atakuwa anaumwa lakini kutibiwa Kenya nitakuwa wa mwisho kuamini
Narudia tena , unapokuwa Mahututi wanaokuuguza ndio wanaoamua ni wapi wakupeleke ili wakunusuru
 
Jamani yupo chattle ndo nimemkuta anakula mihogo mibichi kule🤣🤣
 
Kwanza kwenye akili tu inakataa,apelekwe Kenya wakati alikua ataki kabisa na awa majirani wanaojifanya wao ni East Africa Super Power..
Ivi kujenga ukuta wa Merelani unadhani yeye ajui ni chukizo kubwa sana kwa Kenya?
Alafu augue eti apelekwe Kenya?
 
Kuna wakati walimtamani awe wao wasijekuwa wamemuiba??
 
Naskia amehamishiwa India kisirisiri
 
leo tumsikie...tuna miradi huku yakuzindua. La sivyo tusitafutane ubaya tukikiwasha. Uwezo tunao nguvu tunazo nia tunazo tusitishane[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwanza kwenye akili tu inakataa,apelekwe Kenya wakati alikua ataki kabisa na awa majirani wanaojifanya wao ni East Africa Super Power..
Ivi kujenga ukuta wa Merelani unadhani yeye ajui ni chukizo kubwa sana kwa Kenya?
Alafu augue eti apelekwe Kenya?
Kuna mtanzania hapa amesema ukiwa mgonjwa hauna uwezo wa kuchagua hospitali, i thought that answers that question perfectly well
 
Kuna mtanzania hapa amesema ukiwa mgonjwa hauna uwezo wa kuchagua hospitali, i thought that answers that question perfectly well
Rais wa Tanzania hawezi kupelekwa Kenya ambayo hawana hudumu nzuri zaidi yetu labda south afrika au ulaya.
 
Mtaweweseka Sana ila ndio hivyo baneni mbupu Jiwe apone vinginevyo watu wanaandaa vyombo
 
Bila shaka wamemtoa hapo kuepusha kuvuja zaidi kwa taarifa za hali yake maana hapo kuna ma informer kibao

Pili ni kukwepa embarrassment ya media bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…