African leader taken ill, admitted to city hospital

I like the way JPM is taking the fools for the ride

Nawahurumia sana mamilioni ya Watz huko kijijini ambao wanakusanyika makundi kwenye runinga za mighahawani.....
Afueni kwa MATAGA kama wewe kidogo naona "like" ya kwenye tweet imekutuliza presha.
Msiwe na hofu, huyo babu ni fighter, tena mbishi kweli kweli na nategemea kuona akiibuka kuzindua mradi sehemu.

Sema tu nahisi TISS na NIS wa Kenya wameshirikiana kwenye kuchanganya akili za watu.
 
Which ride? A ventilator is not a locomotive dummy. Read the signs of the times nigga! How far are you willing to go with your sychophancy, are you a robot?

Kati ya PM na jobless lisu nani unamuamini?
 
Hivi wanaokataa kuwa hajatangulia hawaamini kama angekufa au?sasa naelewa kaa nini kulikuwa na kusifu na kuabudu, alifanywa mungu
 
Kwa hakika ni wajinga wa kutupwa....Yaani eti JPM aende Kenya?! Mijinga imenasa kwenye mtego wa misinformation manouvers, an old trick of intelligence organizations...
 
Hivi wanaokataa kuwa hajatangulia hawaamini kama angekufa au?sasa naelewa kaa nini kulikuwa na kusifu na kuabudu, alifanywa mungu

Serikali ipi ndiyo imetangaza hilo?
Utaaminije kitu ambacho hakijasemwa na mamlaka?
 
You don't even understand simple, basic Grade 1 English. I don't know why I expected you to understand that alot of leaders who have enormous responsibilities, president Uhuru Kenyatta included, have handlers for their official social media accounts.
So we are talking about Englisha Language now, You've been trapped in your own stupidity old man, as fool as typical Kenyans.
 
Kwa hakika ni wajinga wa kutupwa....Yaani eti JPM aende Kenya?! Mijinga imenasa kwenye mtego wa misinformation manouvers, an old trick of intelligence organizations...
Yaani huwa ukiwatazama na Kingereza cha kikamba unawahurumia tu,
Kati ya Version fulani ya watu wajinga sana, halafu wengi wao ni watu wazima yaani.
 
Ambia huyo Mkenya mwenzio Mwedawazimu hapo anasema hiyo like sio ya JPM
At this moment It takes stupidity to think JPM Acount can be handled by any other person and again think he is unconscious. Bure kabisa nyie watu wazima
 
Did you just use a like on Twitter as proof of life? [emoji1][emoji1][emoji1] I thought you were just faking it but I see now that you are definately a certified dunderhead. Even Babu wa Loliondo must have handlers for his social media accounts.

Bro, you don't need to bother kushangilia kifo cha mwingine in such a way you make others think that you are a witch. Give time to your feelings, then everything will be unveiled.
 
If that man is in a ventilator it means he's lost atleast 60% of his pulmonary functions.

If he does not show up for Sunday service today.... buckle up because this will be, at the very minimum, a month long saga
You can't see things in bigger picture despite your old age. Vijana tukiwadharau mnatuona jeuri.
 
Yaani hadi mmegeuka witches, [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ambia huyo Mkenya mwenzio Mwedawazimu hapo anasema hiyo like sio ya JPM
At this moment It takes stupidity to think JPM Acount can be handled by any other person and again think he is unconscious. Bure kabisa nyie watu wazima

Wewe ndiye unaonyesha ulivyo pimbi kwa kukaa ukitegemea "like" ya kwenye tweeter kuwa ndio chanzo chako cha habari....hehehe
 
Wewe ndiye unaonyesha ulivyo pimbi kwa kukaa ukitegemea "like" ya kwenye tweeter kuwa ndio chanzo chako cha habari....hehehe
Hehehe, hivi unachukuliaje huu mchezo mliochezewa safari hii ?
By the way Poleni Naskia Kirusi kinatandaka hapo Nairobi hatari,
Nawaombea mvuke salama. Demu wangu hapo Nairobi amefiwa ba baba yake..
 
Hehehe, hivi unachukuliaje huu mchezo mliochezewa safari hii ?
By the way Poleni Naskia Kirusi kinatandaka hapo Nairobi hatari,
Nawaombea mvuke salama. Demu wangu hapo Nairobi amefiwa ba baba yake..

Kama kuna mchezo unaochezwa, itakua kwa ushirikiano wa TISS na NIS ya Kenya, maana pale ilisemwa amelazwa kwetu hapa, hospitali yetu ingetoa press conference kukanusha, wewe kwa akili yako umevimbiwa ubwabwa hapo na kujiaminisha TISS itacheza mchezo kusema yuko Nairobi na NIS yetu wasijue kweli yupo au la.

Ikulu yetu iko kimya, hakuna hata kiongozi mmoja ametolea tamko, hospitali iko kimya.....nyie makajamba wa mtaani ndio mumechezewa gemu, na ili kuwadumaza ikachezwa ya kuzuia mahindi ili mkurupuke kama taifa na kuongea ongea lawama dhidi ya Kenya hadi ipite wiki moja au mbili ili muda upatikane wa kumpa mkulu wenu aibuke kuzindua kamradi sehemu na kuonyesha yupo yupo, sema naona imeshindikana na kuvuta muda sana zaidi ya walivyokisia na sasa zuio la mahindi limeondolewa.

Haya magemu huchezwa sana na hizi taasisi za intelijensia, kuna wakati hata CIA na KGB hushirikiana kwenye baadhi ya mambo.

Kuhusu wimbi la tatu au hata la kumi isikupe tabu maana walau kwetu tunafuatilia na kujuzwa, kwenu huko mumekaa mpo mpo tu hata hamna habari jua linachomozea wapi na kuzamia wapi, mumekaa kufuatilia nyuzi za tanzia tu.
 
Hata hio ban ya import ya mahindi ilkuwa suspect.
 
game over nakuonea huruma kwa wewe ambaye umeimbishwa nyimbo za kizalendo dhidi ya corona wakati wenye hela wanatuibukia Nairobi....
He is just a dimwit, he believes Kenya and Tanzania are the worst of enemies, its always business nothing personal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…