African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

photo evidence? If u fools can take a photo of RAO and Uhuru having a meeting in the midnight in a street? Why no evidence could be provided? That means Magufuli is so feared in that Kunyaland!
Feared by who, dont mistake respect for fear, you clueless bully,mtaziona tu eventually at the right time
 
Habari za yeye kuwa nairobi zilitokea Tanzania na wala sio nairobi so zina high probability of being fake news

Credible sources ni hii

Hebu leta hiyo taarifa kutoka Tanzania iliyosema alikuwa Nairobi kimatibabu
 
He was in Nairobi hospital. Huku Kenya kuna uhuru wa uandishi na hatuna kandarasi ya kueneza uongo. It was fitting that he was taken back to Tanzania when it was realized his situation was dire. That is just basic respect bila conspiracy theories
Magufuli alikuwa kwenye life support machine toka last week Mzena hospital

Jana majira ya saa 12 ndio wamemtoa kwenye life support machine na ndio wakatangaza kafariki
Hajawahi Kuja Kenya na habari za kuugua kwake sio mkenya kaanzisha

poleni mazeee dah...ata mzee raila tinga anaombolezaaa
FB_IMG_1599382231533.jpg
 
Not lying, kifo ni huzuni, he was in Nairobi hospital, for ethics sake and respect it had to be kept secret, sijui kama ni Uhuru angekua Tz hospital nyie na mijisifa na kujimwambafai yenyu mngenyaza kweli, haswa viongozi wenu! Raiya na media huwezi kuwazuia kuongea, hapa inakubalika, na wengi hawajui professional ethics, wataropokwa tu kiholela. Poleni sana
Taarifa za kuaminika kutoka vyanzo nyangu ni kweli alikuwa admitted Nairobi Hospital ,usiniulize nimejuaje .Za kuambiwa changanya na zako,R.I.P mr.President
 
When news about his sickness broke out, it was reported that he was being treated at Nairobi Hospital for Covid. But Tanzanians, led by their government, dispelled these news with a section of Tanzanians in this forum saying Kenyan media houses are spreading fake news about their president and Tanzania at large.

Do you think it was by coincidence that it was being reported he was in Nairobi Hospital for treatment? Kama hukuamini kwamba alikuwa mgonjwa, how will you believe that he was at Nairobi Hospital?
Na kama ilikuwa uongo ilikuaje taarifa zianze kuvuja kutoka Kenya? probably na Lissu alizipata kutoka Kenya
 
Sielewi kwanini wakenya wanalazimisha Magu kafia Kenya?

After this, they immediately applied life support machine into him and yesterday they uninstalled it at almost the exact same time and announced he's no more
 
After this, they immediately applied life support machine into him and yesterday they uninstalled it at almost the exact same time and announced he's no more
You think your government can admit he was here, tuulize sisi we were on the ground, last week amref has been busy Tz
 
You think your government can admit he was here, tuulize sisi we were on the ground, last week amref has been busy Tz
Huu ndio upumbavu sasa

Magufuli ni wa kusafirishwa na amref?

Gulfstream ya Magu inafika hata Netherlands in no time, hii ndio aina ya dogma kichaa tu anaweza meza
 
Not just Geza, all Tanzanians were clueless about his health and whereabouts. It had to take the effort of a Kenyan news channel to make them have wind about the condition of their president. Kazi yao ni kupiga tu kelele hapa jf na kurusha matusi usiku na mchana wakati hawajui kinachoondelea ndani ya nchi yao
Eti huu ndio uzalendo,si upuuzi kabisa huu.Haya baada ya kuficha na kudanganya wamefaidika nini? Kwanza wanakesi za kujibu walituficha ili wafanyeje hadi wanatutangazia kifo cha Mkuu wa Nchi? kiufupi wamenikera na na hasira nao.
 
Tanzanians had the right to know the true condition of their president. Pengine wangepata fursa ya kumuombea rais wao afueni. There shouldn't be had stance on right to information. Kwa hili watanzania wana kila sababu ya kujua ni kwanini hali ya afya ya Rais wao ilikuwa ni swala la kufichwa
 
Huu ndio upumbavu sasa

Magufuli ni wa kusafirishwa na amref?

Gulfstream ya Magu inafika hata Netherlands in no time, hii ndio aina ya dogma kichaa tu anaweza meza
Oneni huyu mshenzi, do you knw what an air ambulance is? And do you know why amref is called flying doctors?
 
Tanzanians had the right to know the true condition of their president. Pengine wangepata fursa ya kumuombea rais wao afueni. There shouldn't be had stance on right to information. Kwa hili watanzania wana kila sababu ya kujua ni kwanini hali ya afya ya Rais wao ilikuwa ni swala la kufichwa
Utakuta saizi ndio yanasema eti tumuombee marehemu,mtu anaombewa akiwa hai sio mfu,pengine Mungu angesikia sara na toba na kama mkuu alikuwa na madhambi yake angejirekebisha .Ujue maccm yameniudhi na nina hasira kiasi kwamba atokee mtu mbele yangu atetee huu ujuha naweza kumjeruhi.

Next time wakome kabisa na hii tabaia ya kuweka siri za afya na uongozi,haina tija.Ingekuwa wazi kila mtu angeomba kwa sara zake na kama hangeamka ingetosha kusema kazi ya Mungu haina makosa ila sio kumficha tutajuaje kama ni kweli alikuwa anaumwa kama wanavyotuambia? Kiufupi wamepoteza imani kwa umma na kutiliwa shaka kwamba labda wamemdhuru.
 
Back
Top Bottom