Afrika bana, nchi yote ya Tanzania umeme umekatika

povuuuu,nenda ukachukue buku umalize njaa😀
 
Umeme safari hii ni unakatika sijawahi kuona sasa hivi saa 11:17 umeme hakuna na ni mara ya tatu unakatika na kurudi viwanda VIFUNGWE WAZUNGU MRUDI KWENU
 
East Africa's Third economy ndo Tanzania?
Una uhakika na takwimu zako za kiuchumi?
Halafu hapa nilipo mbona umeme upo!! au nipo nje ya Nchi yangu pendwa?
 

Na huko kwenu Kenya vipi?? Nasikia eti mnataka tuje huko kuwekeza na tutumie National ID tu kuingia kwenu. Eti kweli mkuu lakini ardhi mnayo?? nasikia eti ardhi ya Kenya karibu robo tatu inamilikiwa na ukoo wa Kenyatta hayo ni kweli mkuu???. Mkuu eti hiyo habari ni ya Gazeti la Kenya au??
 
Habari imeandikwa na gazeti la The East African..

Hapo huna hata haja ya kujiuliza.. majirani kama kawaida wapo kazini kwenye propaganda..

Halafu angalieni hapo kwenye aya ya mwisho.. wamesema Tanzania ni 3rd largest economy.. wakimaanisha Ethiopia ni ya kwanza, Kenya ni ya pili..

Lakini tafuta article nyingine.. utaona Kenya imeandikwa 1st largest economy..

Hili gazeti lilipofungiwa kipindi kile sikushangaa..
 

Hehehehe! Naona unatumia neno 'naskia' mara nyingi, jitutumue utoke hicho kitaa uone dunia, kuna Watanzania huku wanapiga misele kwa kwenda mbele. Njoo na kitambulisho chako ila ujiandae kuwa mchakarikaji, usije na huo uvivu wenu. Waulize watu wa Arusha na Kilimanjaro waliojazana huku.
 
Hukuelewa logic yangu ya kutumia neno "nasikia" inahitajika ubongo wako uwe unafanyakazi vizuri ili uelewe nilikuwa na maanisha nini mkuu. Nimeishi na kufanyakazi Nairobi maeneo ya West Land kwa miaka kibao hivyo naijua Kenya na wakenya wenyewe kuliko uzaniavyo mkuu!!
 
Kweli tunaelekea kwenye uchumi wa kati, Tanzania ya viwanda, Utawala wa Magu!
 
Lakini tukinunua juice na hizo ndala kutoka mnalalamika hata juice na ndala tunaagiza? Najua hapo ulipo hata katoni moja ya juice huwezi nunua ila kupinga kila kitu unamudu


Nikishangilia kukosekana kwa stable power ndio nitaweza kununua carton ya juice? Pathetic

National grid imekaa miaka 56 kama national grid ikipata hitilafu basi kwa kuwa ni national grid tunyamaze huoni tatizo hapo? Hii grid ya taifa ikiamka na kulala hivi one month unajua kitachotokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…