Afrika historia inatuadhibu na utandawazi unatudidimiza

Afrika historia inatuadhibu na utandawazi unatudidimiza

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Binafsi

Naona historia ya afrika imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha maafa hapa barani,hatupo active kwa changamoto za kihistoria kuna pandikizi kubwa la maisha ya ukoloni ambao ulijenga misingi ya kutudumaza kupitia elimu,dini na biashara,ni nani hajui kuwa utumwa wa leo ni matokeo ya jana?

Malighafi ya fikra yetu imezalishwa na mzungu,imagine now days tungekuwa na mitaala ya kutuonesha wavumbuzi na waanzilishi wa demokrasia barani afrika je? tungelikuwa katika fikra zipi!.

Misingi ya kimapokeo imetutengenezea jumba kubwa lisilokuwa na mlango ni muhimu kuwa katika mwamvuli mmoja ili kutafuta njia ya kutoka hapa tulipo.

BY Muhafidhina
 
Back
Top Bottom