Afrika ina Rais mmoja tuu Mwanamke, Samia Suluhu Hassan

Hapa kuna orodha ya baadhi ya marais wa kike duniani, wasifu wao, na bara wanakotokea. Muhimu ni kunote kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye rais pekee wa kike barani Afrika kwa sasa.
Kwa hiyo unaona kuwa mwanamke ni sifa ya kujivunia ya kuwa raisi?

Nawadharau sana watu wanaoona kuwa na raisi mwanamke ni sifa ya kujivunia. Hatupaswi kujisifia kuwa na raisi mwanamke, bali kuwa na raisi makini na mwenye busara, umahili katika kuongoza na hekima, bila kujali ni mwanamke, mwanaume au mwenye jinsia ya kike na kiume - hermaphrodite!
 
Kwahiyo ???? Ujinga ni mzigo!!
Ni kweli na anauza rasilimali za nchi kwa Kasi ya moto wa petrol,kawashinda marais wanaume kwa ufisadi!!!🤣🤣🤣😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…