Afrika inaongozwa na wanasiasa uchwara

Best African Leaders currently:
1. Capt. Ibrahim Traolè, Burkinabe President
2. H.E Paul Kagame of Rwanda
3. Wale jamaa waliopindua Niger (kwa taarifa tu ni kwamba uchumi wa Niger unakua kwa asilimia zaidi ya 8 hadi sasa!)
Labda na hao wengine uliowasema kina Hichilema na Chakwera.
 
Poa mkuu Burkinabe
Huwa nakukubali sana Mkuu.
Maana mtizamo wako na wangu huwa vinaendana kwa asilimia kubwa sana hasa linapokuja suala la uzalendo kwa nchi yetu na bara letu la Afrika kwa ujumla.
Eti mtu kwa mfano, ni Rais wa Cameroon, lakini maskani yake ya kuishi ni Switzerland!
Afrika kazi tunayo akyanani
 
Tunawataka kina Benjamin Netanyau wengi zaidi Afrika.
Tunawataka kina Paul Kagame wengi zaidi Afrika.
Tunawataka kina Vladimir Putin wengi zaidi Afrika.
Tunawataka kina Xi Jinping wengi zaidi Afrika, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…