Afrika inasomesha vijana kwa pesa za walipa kodi, wakihitimu wanapata kazi USA

Afrika inasomesha vijana kwa pesa za walipa kodi, wakihitimu wanapata kazi USA

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1648129426425.png
 
Wanajisomesha kwa mkopo na riba juu!!! Utaletewa kila aina yajibu kuhusu swala hili.
 
Unahisi ni hasara au faida kwa nchi?
Serikali inaweza kuajiri wote inayosomesha?
Au unaona ni bora tu wakae hapa bila ajira na serikali ijivunie kwamba tulikusomesha mtanzania wetu tunajivunia kwa hilo
 
hapana napingana na wewe...hiyo picha inasema hivi "waafria wanayo mali wameihangaikia lakini wanaoitumia na kufaidia ni USA huku wenye mali wakibaki kama yatima wasio na mbele wala nyuma kwa ufukara"
 
Picha ni moja lakini inaweza ikatoa maana tofauti tofauti........because Everyone of us has their own perspective.

According to description of the photo: Wote mpo kwenye the same River channel but different distributaries.
 
Ni wasomi wachache sana wa Tanzania wenye wana uwezo wa kwenda USA kufanyakazi za kitaaluma.

Walimu wenyewe si ndio hawa kina Kitila Mkumbo na Profesa Kabudi
 
Back
Top Bottom