Picha ni moja lakini inaweza ikatoa maana tofauti tofauti........because Everyone of us has their own perspective.hapana napingana na wewe...hiyo picha inasema hivi "waafria wanayo mali wameihangaikia lakini wanaoitumia na kufaidia ni USA huku wenye mali wakibaki kama yatima wasio na mbele wala nyuma kwa ufukara"