Afrika kushindwa kutambua talanta yetu kumeturudisha nyuma

Afrika kushindwa kutambua talanta yetu kumeturudisha nyuma

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Muziki na mbio ni talanta kubwa ya Afrika. Hatukuliona hili mapema tuling’ang’ania elimu ya mzungu na kila familia ilipigana iwe angalau na mmoja mwenye degree ya chuo kikuu ili aikomboe familia.

Angalia number ya wanamuziki, wakimbiaji na wanamichezo wenye asili ya Afrika, entertainment is our gift. Huku kwenye taaluma ni wachache wanaofika mbali katika uso wa dunia.

Tungelitambua hili mapema na kuendeleza vipaji, tungekuwa na wanamuziki na wanamichezo waliozalisha ajira nyingi Afrika.
 
Nakumbuka kuna mwaka Waziri wa michezo Mungai(rip)alitoa michezo mashuleni!...ukute hapa kina Manengelo tungekuwa abroad tunacheza shows tu za ngoma za jadi maskini!..
Fikiria wakina Steve Wonder, Michael Jackson (RIP), Whitney Huston (RIP) wangezaliwa Afrika si ajabu tusingefahamu vipaji vyao.
 
kwani kuna tatizo kumhimiza mtoto kwenye suala la Elimu kuliko Michezo? Investment kwenye michezo ni ndogo
 

Attachments

  • 1576041705605-507157095.jpg
    1576041705605-507157095.jpg
    108.8 KB · Views: 8
Bughy Harry picha zote nilichora 2007 kwenda chini yani nikiwa under 13 lakini kufika advance hadi physical geography michoro yake naichora kwa shida coz sikuwa nachora hapo kati.
 

Attachments

  • 1576042116013-1094046155.jpg
    1576042116013-1094046155.jpg
    85.2 KB · Views: 8
  • 15760421946361870160141.jpg
    15760421946361870160141.jpg
    89 KB · Views: 9
  • 1576042251823-426771051.jpg
    1576042251823-426771051.jpg
    79.7 KB · Views: 9
Bughy Harry picha zote nilichora 2007 kwenda chini yani nikiwa under 13 lakini kufika advance hadi physical geography michoro yake naichora kwa shida coz sikuwa nachora hapo kati.
Ukipata mazingira yaliyotulia unaweza kurudisha hiki kipaji. Fanya iwe ndiyo hobby yako, nunua kalamu special za kuchorea. Weekend tafuta masaa mawili yenye utulivu fanya mazoezi
 
Ukipata mazingira yaliyotulia unaweza kurudisha hiki kipaji. Fanta iwe ndiyo hobby yako, nunua kalamu special za kuchorea. Weekend tafuta masaa mawili yenye utulivu Fanta mazoezi
Daah umenikumbusha enzi hizo nna kioo changu cha kugandamizia home,kila nikipata gazeti natafuta picha ya kuichora.
Alaf Kischool nilikua napigia watu machata kwenye bags and books zao.
Ila wazazi ndiyo walinikata moto.
Nikipata time nitakua natrain
Napenda michoro ya Tingatinga
 
Kuna lecture wetu mmoja alisoma Israel, anasema waisrael wanasema bora ukutane na mwafrika asiyesoma ukimeambia kitu anaelewa ila wasomi ndiyo chenga kabisa
Kuna heart surgeon Mhindi nilikutana nae, ana miaka 36. Nilimuuliza safari yake ya elimu. Alisema tangu akiwa na mdogo wazazi wake walitambua uwezo wake na kumtafutia shule bora kwa gharama yeyote. Kwakuwa shule zilikuwa kubwa huko mbele alipata scholarships.

Nilimjibu lakini mna kipaji pia. Aliniambia wao wakiangalia marathon wanajua kabisa wengine wanasindikiza ile ni shughuli ya Waafrika.

Kama vijana wa kiafrika wakiandaliwa kuanzia chini ya miaka kumi kwa mbio. Tutasomba medalists zote za Olympic, na marathon.
 
Ukipata mazingira yaliyotulia unaweza kurudisha hiki kipaji. Fanya iwe ndiyo hobby yako, nunua kalamu special za kuchorea. Weekend tafuta masaa mawili yenye utulivu fanya mazoezi

Halafu atauza wapi, kwa pesa ngapi..? Nina vijana wangu wanachora sana kulingana na umri wao unaona kabisa kuna kitu, nimekuwa nikiwashawishi kwa kuwaandalia vifaa na kuzinunua picha wakichora vizuri.... nami niliwahi kuwa mchoraji nikishiriki UMTASHUMITA hadi ngazi ya Kata ila leo kiko wapi..?
 
Back
Top Bottom