Afrika kushindwa kutambua talanta yetu kumeturudisha nyuma

Afrika kushindwa kutambua talanta yetu kumeturudisha nyuma

kwani kuna tatizo kumhimiza mtoto kwenye suala la Elimu kuliko Michezo? Investment kwenye michezo ni ndogo
Kumlazimisha shule mtoto mwenye uwezo mdogo darasani ni kumpa mateso. Unampenda mateso yeye na wewe unaumia kuwa mtoto wako anapata alama za chini.

Uzuri wake Mungu sikuzote anatoa vipaji ni sisi tu tunashidwa kuvitambua.
 
Nilimjibu lakini mna kipaji pia. Aliniambia wao wakiangalia marathon wanajua kabisa wengine wanasindikiza ile ni shughuli ya Waafrika.

Kama vijana wa kiafrika wakiandaliwa kuanzia chini ya miaka kumi kwa mbio. Tutasomba medalists zote za Olympic, na marathon.

Kuhusu marathon ni kweli kabisa, washindi kwa sehemu kubwa ni weusi kutoka Africa au kwingineko.... mfano Kenya na Ethiopia ni waafrica wenzetu waliotambua na kutumia talanta.

Bongo ubaya ubaya, hatuna tunachokimudu vema tunadandia kila kitu.... kama waziri ‘msomi’ anadiriki kufuta michezo nashuleni na anaonekana shujaa unategemea nini..?
 
kweli hata Mbowe angeendeleza kipaji chake cha udisco joker( DJ) angekuwa mbali mno
Angekuwa mbali angekuwa hata na TV station yake ya burudani .Akina Diamond wameanxa juzi tummuziki wanamiliki.Wasafi TV yeye angewahi kuwa nayo .Baba mkwe wake mzee Mtei alikosea kumwingiza Mbowe kwenye siasa.

Mbowe macho yake tu ukiyatizama yamekaa ki DJ zaidi kuliko kisiasa
 
Kweli kbs!nadhan vizaz vijavyo wawaachie watoto nini wanachopenda!
Utotoni nilikua nikifanya ki2 tofauti na shule niliambiwa niache uhuni/utundu na fimbo juu. I was one of those funny creative cute kids that everyone loved,na kuna mambo nilikua nafanya hata wakubwa walishangaa. Growing up i realised that no one cared kuhusu kile nlichokua nafurahia kufanya.

Hivyo niliamua kuwa busy kufanya kile ambacho everyone cared( Shule). Niliridhika kuona watu wa karibu wakifurahia mafanikio yangu kielimu bila kujali kwamba the price was to stop myself from living.

Leo hii the only memories i have ni zile za utotoni, there is a more than 15 years gap kwenye kumbukumbu zangu. Sometimes i try to communicate with my younger self but ts like i buried him alive many years ago, sometimes deep inside i hear him crying kwa maamuzi niliyoyafanya.

To me education has been like an abusive spouse, elimu ilinilazimisha kwa nguvu kufanya kile ilichotaka nifanye na sio kile nilichotaka kufanya, and in the process ilinigeuza kuwa kama robot i forgot how to live, how to communicate, how to socialize, na kibaya zaidi i forgot how to be me. THE END
 
Muziki na mbio ni talanta kubwa ya Afrika. Hatukuliona hili mapema tuling’ang’ania elimu ya mzungu na kila familia ilipigana iwe angalau na mmoja mwenye degree ya chuo kikuu ili aikomboe familia.

Angalia number ya wanamuziki, wakimbiaji na wanamichezo wenye asili ya Afrika, entertainment is our gift. Huku kwenye taaluma ni wachache wanaofika mbali katika uso wa dunia.

Tungelitambua hili mapema na kuendeleza vipaji, tungekuwa na wanamuziki na wanamichezo waliozalisha ajira nyingi Afrika.

Kweli kabisa kupitia sauti za muziki tunaweza mbali ya kustarehe na kupata mapato pia ni tiba mbadala kwa matatizo mbalimbali ya kiafya. Madogoli, mahoka, kupandisha mizuka, kughani n.k pia ni daawa tosha kukabiliana na changamoto za afya maana vyote hivyo zinaenda na sauti za kuimba, kughani na matumizi ya ala kupata sauti husika kupandisha mizuka/ mashetani n.k

Healing through Soul Spirit and Dance Movement Psychotherapy: https://academiccommonscolumbia.edu
 
kwani kuna tatizo kumhimiza mtoto kwenye suala la Elimu kuliko Michezo? Investment kwenye michezo ni ndogo
Kwenye investnt ndogo kama ulivyosema , return kubwa, risk kubwa ,kwa hiyo ni investment nzuri
 
Kwenye investnt ndogo kama ulivyosema , return kubwa, risk kubwa ,kwa hiyo ni investment nzuri
return kubwa inatoka wapi wakati ukisomesha watoto 50 basi 45 wanakua na maisha mazuri na ukawaingiza kwenye michezo 50 basi huenda wawili tu ndo wakatoka kimaisha. wapi kuna risk kubwa?
 
return kubwa inatoka wapi wakati ukisomesha watoto 50 basi 45 wanakua na maisha mazuri na ukawaingiza kwenye michezo 50 basi huenda wawili tu ndo wakatoka kimaisha. wapi kuna risk kubwa?
Sio kweli kama wanakuwa maisha mazuri
 
Sio kweli kama wanakuwa maisha mazuri
Ndugu wacha kua mgumu kuelewa. Nchi zote zilizokua na maendeleo makubwa basi Elimu yao iko juu. hakuna Nchi yenye maendeleo kupitia michezo. Nadhani Ndiyo maana Bado tunaenda chini kimaendelea. China wanauwezo wa michezo gani? india inakua kwa kasi na wana michezo gani?. wenzetu kenya na sudani kila siku wanashinda kwenye marathon na tujiulize wana maendeleo gani. michezo ni personal advantage kwa muhusika
 
Michezo ipewe kipaumbele, miaka kumi iliyopita Kenya hawakuwa na wakimbiaji kama ilivyo leo. Hawa ndiyo wanabadilisha sura ya michezo.

Elimu ni compulsory kwa watoto wote lakini baada ya elimu ya sekondari kuna weingine kumpeleka chuo unamuonea tu.

Mtoto asiye na uwezo kumlazimishs shule ni kumpa adhabu.
 
sasa kenya imewafikisha wapi iyo michezo katika ulimwengu wa Science na Technologia? ni Underground country. Michezo ni Peesonal issue. Unawekeza watoto wengi kwenye Personal issue ni Tatizo, Tuna academia ngapi na zimetuzalishia nini mpaka sasa? tuwekeze kwenye elimu ndiyo nchi itaendelea
 
Angekuwa mbali angekuwa hata na TV station yake ya burudani .Akina Diamond wameanxa juzi tummuziki wanamiliki.Wasafi TV yeye angewahi kuwa nayo .Baba mkwe wake mzee Mtei alikosea kumwingiza Mbowe kwenye siasa.

Mbowe macho yake tu ukiyatizama yamekaa ki DJ zaidi kuliko kisiasa

Yaan ww ni nyokolilo sana!
 
Back
Top Bottom