Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,418
- 29,432
Yaan ww ni nyokolilo sana!
[emoji16][emoji23][emoji16]
Yaan ww ni nyokolilo sana!
kweli hata Mbowe angeendeleza kipaji chake cha udisco joker( DJ) angekuwa mbali mno
Ellimu na dini haijamkomboa mtu mweusi kabisa. Elimu imemfanya kuwamjinga, bwege na zoba na dini imemzidisha kuwa mnafiki na roho mbaya.
Utotoni nilikua nikifanya ki2 tofauti na shule niliambiwa niache uhuni/utundu na fimbo juu. I was one of those funny creative cute kids that everyone loved,na kuna mambo nilikua nafanya hata wakubwa walishangaa. Growing up i realised that no one cared kuhusu kile nlichokua nafurahia kufanya.
Hivyo niliamua kuwa busy kufanya kile ambacho everyone cared( Shule). Niliridhika kuona watu wa karibu wakifurahia mafanikio yangu kielimu bila kujali kwamba the price was to stop myself from living.
Leo hii the only memories i have ni zile za utotoni, there is a more than 15 years gap kwenye kumbukumbu zangu. Sometimes i try to communicate with my younger self but ts like i buried him alive many years ago, sometimes deep inside i hear him crying kwa maamuzi niliyoyafanya.
To me education has been like an abusive spouse, elimu ilinilazimisha kwa nguvu kufanya kile ilichotaka nifanye na sio kile nilichotaka kufanya, and in the process ilinigeuza kuwa kama robot i forgot how to live, how to communicate, how to socialize, na kibaya zaidi i forgot how to be me. THE END