Fikiria wakina Steve Wonder, Michael Jackson (RIP), Whitney Huston (RIP) wangezaliwa Afrika si ajabu tusingefahamu vipaji vyao.Nakumbuka kuna mwaka Waziri wa michezo Mungai(rip)alitoa michezo mashuleni!...ukute hapa kina Manengelo tungekuwa abroad tunacheza shows tu za ngoma za jadi maskini!..
Fikiria wakina Steve Wonder, Michael Jackson (RIP), Whitney Huston (RIP) wangezaliwa Afrika si ajabu tusingefahamu vipaji vyao.
Ukute mtu km Kabudi angekuwa mwanamazingaombwe maarufu barani Africa[emoji133]!
Waliofanikiwa kielimu kama kina Lissu hao ndo wangetuongozea nchi!
Gmon!
Hahahaha na Mwenyekiti angekua nani???
Sio vibaya but tukiweza link kipaji na elimu inapendeza zaidi.kwani kuna tatizo kumhimiza mtoto kwenye suala la Elimu kuliko Michezo? Investment kwenye michezo ni ndogo
Waeza ziweka hapa tuzione mkuuAisee nilionyesha potential ya uchoraji nikiwa mdogo sana, yaani kuna picture nimezichora nikiwa under 15 nnazo hadi leo na ni kali sana.
But now hamna kitu
Waeza ziweka hapa tuzione mkuu
Ukipata mazingira yaliyotulia unaweza kurudisha hiki kipaji. Fanya iwe ndiyo hobby yako, nunua kalamu special za kuchorea. Weekend tafuta masaa mawili yenye utulivu fanya mazoeziBughy Harry picha zote nilichora 2007 kwenda chini yani nikiwa under 13 lakini kufika advance hadi physical geography michoro yake naichora kwa shida coz sikuwa nachora hapo kati.
Daah umenikumbusha enzi hizo nna kioo changu cha kugandamizia home,kila nikipata gazeti natafuta picha ya kuichora.Ukipata mazingira yaliyotulia unaweza kurudisha hiki kipaji. Fanta iwe ndiyo hobby yako, nunua kalamu special za kuchorea. Weekend tafuta masaa mawili yenye utulivu Fanta mazoezi
Kuna lecture wetu mmoja alisoma Israel, anasema waisrael wanasema bora ukutane na mwafrika asiyesoma ukimeambia kitu anaelewa ila wasomi ndiyo chenga kabisaEllimu na dini haijamkomboa mtu mweusi kabisa. Elimu imemfanya kuwamjinga, bwege na zoba na dini imemzidisha kuwa mnafiki na roho mbaya.
Kuna heart surgeon Mhindi nilikutana nae, ana miaka 36. Nilimuuliza safari yake ya elimu. Alisema tangu akiwa na mdogo wazazi wake walitambua uwezo wake na kumtafutia shule bora kwa gharama yeyote. Kwakuwa shule zilikuwa kubwa huko mbele alipata scholarships.Kuna lecture wetu mmoja alisoma Israel, anasema waisrael wanasema bora ukutane na mwafrika asiyesoma ukimeambia kitu anaelewa ila wasomi ndiyo chenga kabisa
Ukipata mazingira yaliyotulia unaweza kurudisha hiki kipaji. Fanya iwe ndiyo hobby yako, nunua kalamu special za kuchorea. Weekend tafuta masaa mawili yenye utulivu fanya mazoezi