Kumlazimisha shule mtoto mwenye uwezo mdogo darasani ni kumpa mateso. Unampenda mateso yeye na wewe unaumia kuwa mtoto wako anapata alama za chini.kwani kuna tatizo kumhimiza mtoto kwenye suala la Elimu kuliko Michezo? Investment kwenye michezo ni ndogo
Nilimjibu lakini mna kipaji pia. Aliniambia wao wakiangalia marathon wanajua kabisa wengine wanasindikiza ile ni shughuli ya Waafrika.
Kama vijana wa kiafrika wakiandaliwa kuanzia chini ya miaka kumi kwa mbio. Tutasomba medalists zote za Olympic, na marathon.
Angekuwa mbali angekuwa hata na TV station yake ya burudani .Akina Diamond wameanxa juzi tummuziki wanamiliki.Wasafi TV yeye angewahi kuwa nayo .Baba mkwe wake mzee Mtei alikosea kumwingiza Mbowe kwenye siasa.kweli hata Mbowe angeendeleza kipaji chake cha udisco joker( DJ) angekuwa mbali mno
Utotoni nilikua nikifanya ki2 tofauti na shule niliambiwa niache uhuni/utundu na fimbo juu. I was one of those funny creative cute kids that everyone loved,na kuna mambo nilikua nafanya hata wakubwa walishangaa. Growing up i realised that no one cared kuhusu kile nlichokua nafurahia kufanya.Kweli kbs!nadhan vizaz vijavyo wawaachie watoto nini wanachopenda!
na mwenyekiti wa chadema angeendelea na kazi yake ya uDJUkute mtu km Kabudi angekuwa mwanamazingaombwe maarufu barani Africa[emoji133]!
Waliofanikiwa kielimu kama kina Lissu hao ndo wangetuongozea nchi!
Gmon!
Mbona zote za Kugandamiza....Bughy Harry picha zote nilichora 2007 kwenda chini yani nikiwa under 13 lakini kufika advance hadi physical geography michoro yake naichora kwa shida coz sikuwa nachora hapo kati.
Mbona zote za Kugandamiza....
Hapana mkuu na hizo ukienda kwa wataalam walikua wanaziona bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Muziki na mbio ni talanta kubwa ya Afrika. Hatukuliona hili mapema tuling’ang’ania elimu ya mzungu na kila familia ilipigana iwe angalau na mmoja mwenye degree ya chuo kikuu ili aikomboe familia.
Angalia number ya wanamuziki, wakimbiaji na wanamichezo wenye asili ya Afrika, entertainment is our gift. Huku kwenye taaluma ni wachache wanaofika mbali katika uso wa dunia.
Tungelitambua hili mapema na kuendeleza vipaji, tungekuwa na wanamuziki na wanamichezo waliozalisha ajira nyingi Afrika.
Kwenye investnt ndogo kama ulivyosema , return kubwa, risk kubwa ,kwa hiyo ni investment nzurikwani kuna tatizo kumhimiza mtoto kwenye suala la Elimu kuliko Michezo? Investment kwenye michezo ni ndogo
return kubwa inatoka wapi wakati ukisomesha watoto 50 basi 45 wanakua na maisha mazuri na ukawaingiza kwenye michezo 50 basi huenda wawili tu ndo wakatoka kimaisha. wapi kuna risk kubwa?Kwenye investnt ndogo kama ulivyosema , return kubwa, risk kubwa ,kwa hiyo ni investment nzuri
Sio kweli kama wanakuwa maisha mazurireturn kubwa inatoka wapi wakati ukisomesha watoto 50 basi 45 wanakua na maisha mazuri na ukawaingiza kwenye michezo 50 basi huenda wawili tu ndo wakatoka kimaisha. wapi kuna risk kubwa?
Ndugu wacha kua mgumu kuelewa. Nchi zote zilizokua na maendeleo makubwa basi Elimu yao iko juu. hakuna Nchi yenye maendeleo kupitia michezo. Nadhani Ndiyo maana Bado tunaenda chini kimaendelea. China wanauwezo wa michezo gani? india inakua kwa kasi na wana michezo gani?. wenzetu kenya na sudani kila siku wanashinda kwenye marathon na tujiulize wana maendeleo gani. michezo ni personal advantage kwa muhusikaSio kweli kama wanakuwa maisha mazuri
Michezo ipewe kipaumbele, miaka kumi iliyopita Kenya hawakuwa na wakimbiaji kama ilivyo leo. Hawa ndiyo wanabadilisha sura ya michezo.Ndugu wacha kua mgumu kuelewa. Nchi zote zilizokua na maendeleo makubwa basi Elimu yao iko juu. hakuna Nchi yenye maendeleo kupitia michezo. Nadhani Ndiyo maana Bado tunaenda chini kimaendelea. China wanauwezo wa michezo gani? india inakua kwa kasi na wana michezo gani?. wenzetu kenya na sudani kila siku wanashinda kwenye marathon na tujiulize wana maendeleo gani. michezo ni personal advantage kwa muhusika
sasa kenya imewafikisha wapi iyo michezo katika ulimwengu wa Science na Technologia? ni Underground country. Michezo ni Peesonal issue. Unawekeza watoto wengi kwenye Personal issue ni Tatizo, Tuna academia ngapi na zimetuzalishia nini mpaka sasa? tuwekeze kwenye elimu ndiyo nchi itaendeleaMichezo ipewe kipaumbele, miaka kumi iliyopita Kenya hawakuwa na wakimbiaji kama ilivyo leo. Hawa ndiyo wanabadilisha sura ya michezo.
Elimu ni compulsory kwa watoto wote lakini baada ya elimu ya sekondari kuna weingine kumpeleka chuo unamuonea tu.
Mtoto asiye na uwezo kumlazimishs shule ni kumpa adhabu.
Nakumbuka kuna mwaka Waziri wa michezo Mungai(rip)alitoa michezo mashuleni!...ukute hapa kina Manengelo tungekuwa abroad tunacheza shows tu za ngoma za jadi maskini!..
Kuna ukweli! Km michezo isingepigwa marufuku, muda huu uko levels za Rihanna ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa mbali angekuwa hata na TV station yake ya burudani .Akina Diamond wameanxa juzi tummuziki wanamiliki.Wasafi TV yeye angewahi kuwa nayo .Baba mkwe wake mzee Mtei alikosea kumwingiza Mbowe kwenye siasa.
Mbowe macho yake tu ukiyatizama yamekaa ki DJ zaidi kuliko kisiasa
Ka mimi tu. Nkakimbilia kubukua, saivi magamba nimeyapaki mikono imekuwa mizito kuchora.Aisee nilionyesha potential ya uchoraji nikiwa mdogo sana, yaani kuna picture nimezichora nikiwa under 15 nnazo hadi leo na ni kali sana.
But now hamna kitu