Why waislamu wanafurahia hili jambo as if dini ndio inataka hivoJamaa alifungisha ndoa kwa kiislamu ikiwa ni ndoa ya mashoga , kumbuka hakuna uhusiano wa dini maana hao jamaa wako kweny mashaka ya mauaji .
Hkuna iman shoga , kiufupi analazimishaMbona waislamu wengi wanafurahia
Wapo sema hawajajitangaza ,usiseme hayupoHkuna iman shoga , kiufupi analazimisha
Sasa wakifurahia ndo inakuwa sheria ya kiislam? Hizo si hisia zao wenyeweMbona waislamu wengi wanafurahia
Sina uhakika ila katika uislamu hakuna manipulation wala kupotosha ...Hakuna imani shoga kwa sababu jinsiw mbili tuWhy waislamu wanafurahia hili jambo as if dini ndio inataka hivo
Automatically amejitoa hakuna iman wa hivyo labda ajifiche ,hata mganga hafai kuwa imani ..Wapo sema hawajajitangaza ,usiseme hayupo
For sureAutomatically amejitoa hakuna iman wa hivyo labda ajifiche ,hata mganga hafai kuwa imani ..
Kiufupi mashirika ,choko na mtu wa hovyo akiswalisha salah yote ni batili.
Umenena vyemaHapa ndipo napoupendea Uislamu, Gusa imani yao uone cha mtemakuni, Tatizo huwa wanavuka kufanya walichofanya kwa dini nyingine kisa tu sio waislam
Uje wakristo sasa, kila kitu kinaruhusiwa, Papa anapitisha vitu vya kipuuzi anachekewa tu,
Nikidhani shetani kafarikiShetani kafiri
Makafiri na harakati za Kuba lance uovu wao.Polisi nchini Afrika kusini imesema Imamu aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja Muhsin Hendricks, amepigwa risasi na kuuwawa na watu wasiojulikana. Imami huyo aliye na umri wa miaka 57 kutoka mjini Cape Town, alikuwa ndani ya gari na mwenzake kabla ya gari jengine ghafla kuegeshwa mbele yao na kuwazuwia.
Baadae watu hao waliokuwa wamefunika nyuso zao walimmiminia risasi na kumuua papo hapo. Sababu ya kuuwawa kwake hadi sasa hazijajulikana na polisi wanaendelea na uchunguzi.
Muhsin Hendricks aliyejitangaza mwaka 1996 kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, alikuwa akisimamia Msikiti wa Al-Ghurbaah, ulionuiwa kuwa eneo salama kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na jamii nyengine za kiislamu zilizotengwa.
Tangu wakati huo, kiongozi huyo wa kidini amekuwa akipokea vitisho dhidi yake, lakini akasema kwamba ni bora kuwa muwazi juu ya jinsia yake kuliko kuogopa kufa.
View attachment 3239255
Makafiri ndio kina Nani?Makafiri na harakati za Kuba lance uovu wao.
HapanaNikidhani shetani kafariki
Makafiri ndio kina Nani?
What is a God in Islam?
Wamemla kichwa.. Wameongeza dhambiPolisi nchini Afrika kusini imesema Imamu aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja Muhsin Hendricks, amepigwa risasi na kuuwawa na watu wasiojulikana. Imami huyo aliye na umri wa miaka 57 kutoka mjini Cape Town, alikuwa ndani ya gari na mwenzake kabla ya gari jengine ghafla kuegeshwa mbele yao na kuwazuwia.