Afrika Kusini: Imamu wa kwaza Duniani kutamka hadharani kujihusisha na ushoga auliwa kwa kupigwa risasi katika shambulio la kupangwa

Status
Not open for further replies.
Jamaa alifungisha ndoa kwa kiislamu ikiwa ni ndoa ya mashoga , kumbuka hakuna uhusiano wa dini maana hao jamaa wako kweny mashaka ya mauaji .
Why waislamu wanafurahia hili jambo as if dini ndio inataka hivo
 
Wapo sema hawajajitangaza ,usiseme hayupo
Automatically amejitoa hakuna iman wa hivyo labda ajifiche ,hata mganga hafai kuwa imani ..

Kiufupi mshirikina ,choko na mtu wa hovyo akiswalisha salah yote ni batili.
 
Hapa ndipo napoupendea Uislamu, Gusa imani yao uone cha mtemakuni, Tatizo huwa wanavuka kufanya walichofanya kwa dini nyingine kisa tu sio waislam

Uje wakristo sasa, kila kitu kinaruhusiwa, Papa anapitisha vitu vya kipuuzi anachekewa tu,
Umenena vyema
 
Polisi nchini Afrika kusini imesema Imamu aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja Muhsin Hendricks, amepigwa risasi na kuuwawa na watu wasiojulikana. Imami huyo aliye na umri wa miaka 57 kutoka mjini Cape Town, alikuwa ndani ya gari na mwenzake kabla ya gari jengine ghafla kuegeshwa mbele yao na kuwazuwia.

Baadae watu hao waliokuwa wamefunika nyuso zao walimmiminia risasi na kumuua papo hapo. Sababu ya kuuwawa kwake hadi sasa hazijajulikana na polisi wanaendelea na uchunguzi.

Muhsin Hendricks aliyejitangaza mwaka 1996 kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, alikuwa akisimamia Msikiti wa Al-Ghurbaah, ulionuiwa kuwa eneo salama kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na jamii nyengine za kiislamu zilizotengwa.

Tangu wakati huo, kiongozi huyo wa kidini amekuwa akipokea vitisho dhidi yake, lakini akasema kwamba ni bora kuwa muwazi juu ya jinsia yake kuliko kuogopa kufa.

View attachment 3239255
Makafiri na harakati za Kuba lance uovu wao.
 
Makafiri ndio kina Nani?
Screenshot_20250217-181246~2.jpg
 
Polisi nchini Afrika kusini imesema Imamu aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja Muhsin Hendricks, amepigwa risasi na kuuwawa na watu wasiojulikana. Imami huyo aliye na umri wa miaka 57 kutoka mjini Cape Town, alikuwa ndani ya gari na mwenzake kabla ya gari jengine ghafla kuegeshwa mbele yao na kuwazuwia.

Baadae watu hao waliokuwa wamefunika nyuso zao walimmiminia risasi na kumuua papo hapo. Sababu ya kuuwawa kwake hadi sasa hazijajulikana na polisi wanaendelea na uchunguzi.

Muhsin Hendricks aliyejitangaza mwaka 1996 kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, alikuwa akisimamia Msikiti wa Al-Ghurbaah, ulionuiwa kuwa eneo salama kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na jamii nyengine za kiislamu zilizotengwa.

Tangu wakati huo, kiongozi huyo wa kidini amekuwa akipokea vitisho dhidi yake, lakini akasema kwamba ni bora kuwa muwazi juu ya jinsia yake kuliko kuogopa kufa.

View attachment 3239255
Wamemla kichwa.. Wameongeza dhambi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom