Afrika Kusini kuwaondoa Wanadiplomasia kutoka Israel

Okay mkuu, kama mimi ni mpumbavu you can't help ila kama mimi ni mjinga then tunaweza kujadiliana, kwangu baada ya uchunguzi wa kina including kuitembelea SA, nikajifunza kuwa politicians hasa wa hapa Tanzania walituongopea mno kuhusu makaburu wa SA, nchi waliiongoza vema kuliko ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi weusi, watu wengi wanakufa mno kwa serikali ya watu weusi kuliko kipindi cha boers, misingi yote ya kimaendeleo imevurugwa na black leaders, na next year elections ANC wanawekwa pembeni na coalitions government, watch the space
Duh kweli urokole umekuja kuwa tatizo kubwa kwa waafrika,yaani leo hii ww mtu mweusi umekuwa mtetezi wa makaburu ili tu uhalalishe upuuzi unao fanywa na Israel?

Ili kumaliza ubishi sasa hivi nenda kwenye mtaa wa Soweto alafu uwaite watu wote pale uwakusanye alafu useme kuwa makaburu walikuwa ni bora kuliko watawala wa sasa tuone kama hujatandikwa lisasi 1000.
 
Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza.

Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi mmoja uliopita.

Kulingana na Hospitali ya Al-Shifa ya Gaza City, takriban watu 200 wameuawa.

Serikali ya Afrika Kusini, ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikiunga mkono hoja ya Palestina, ililaani vikali Israel na kutaka kufutwa kazi kwa Balozi wa Israel, Eliav Belotsercovsky ikimtuhumu kwa kutoa "maoni ya kudharau" kuhusu Afrika Kusini.

Taarifa hiyo ilieleza kuwepo kwa Balozi Belotsercovsky nchini Afrika Kusini kuwa "kutokubalika", na kuongeza kuwa itafuata njia za Kidiplomasia kukabiliana na mwenendo wake Nchini humo.

Waziri wa Mambo ya Nje, Naledi Pandor alisema Serikali inaamini "Hali ya kukabiliana na Israel imekuwa moja ya adhabu ya pamoja".

Israel inasema inajaribu kupunguza vifo vya raia na inashutumu Hamas kwa kutumia wasio wapiganaji kama ngao za binadamu.

Mamia ya raia wa Afrika Kusini wameandamana kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza katika wiki za hivi karibuni.

Mapema Mwaka 2023 Ubalozi wa Afrika Kusini Nchini Israel ulishushwa hadhi na kuwa ofisi ya mawasiliano.

########

South Africa says it will recall all of its diplomats from Tel Aviv following Israel's intense air strikes on Gaza on Sunday night.

The bombardment was one of Israel's heaviest since the war began a month ago.
According to Gaza City's Al-Shifa hospital, about 200 people were killed.

South Africa's government, which has long been a vocal supporter of the Palestinian cause, staunchly condemned Israel on Monday.

The government indicated that it might call for the removal of Israeli Ambassador Eliav Belotsercovsky accusing him of making "disparaging comments" about South Africa.

The statement described Ambassador Belotsercovsky's presence in South Africa as "untenable", adding it would pursue diplomatic channels to deal with his conduct in the country.

Foreign Minister Naledi Pandor said the government believes "the nature of response by Israel has become one of collective punishment".

Israel says it is trying to minimise civilian casualties and accuses Hamas of using non-combatants as human shields.

Hundreds of South Africans have protested against Israeli attacks on Gaza in recent weeks.

Earlier this year the South African embassy in Israel was downgraded to a liaison office.

Source: BBC
Hizo kelele za Julius Makema na EFF yake, anuse pua pale kwenye migodi ya wayahudi alone moto wake, tuanze na kushinikiza hamasi iachie mateka wa Israel halafu ndo tushinikize Israel na Hamas na West Bank wakae pamoja waunde taifa lenye amani la wayahudi, warabu, wazungu waishi Kwa pamoja.
 
Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza.

Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi mmoja uliopita.

Kulingana na Hospitali ya Al-Shifa ya Gaza City, takriban watu 200 wameuawa.

Serikali ya Afrika Kusini, ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikiunga mkono hoja ya Palestina, ililaani vikali Israel na kutaka kufutwa kazi kwa Balozi wa Israel, Eliav Belotsercovsky ikimtuhumu kwa kutoa "maoni ya kudharau" kuhusu Afrika Kusini.

Taarifa hiyo ilieleza kuwepo kwa Balozi Belotsercovsky nchini Afrika Kusini kuwa "kutokubalika", na kuongeza kuwa itafuata njia za Kidiplomasia kukabiliana na mwenendo wake Nchini humo.

Waziri wa Mambo ya Nje, Naledi Pandor alisema Serikali inaamini "Hali ya kukabiliana na Israel imekuwa moja ya adhabu ya pamoja".

Israel inasema inajaribu kupunguza vifo vya raia na inashutumu Hamas kwa kutumia wasio wapiganaji kama ngao za binadamu.

Mamia ya raia wa Afrika Kusini wameandamana kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza katika wiki za hivi karibuni.

Mapema Mwaka 2023 Ubalozi wa Afrika Kusini Nchini Israel ulishushwa hadhi na kuwa ofisi ya mawasiliano.

########

South Africa says it will recall all of its diplomats from Tel Aviv following Israel's intense air strikes on Gaza on Sunday night.

The bombardment was one of Israel's heaviest since the war began a month ago.
According to Gaza City's Al-Shifa hospital, about 200 people were killed.

South Africa's government, which has long been a vocal supporter of the Palestinian cause, staunchly condemned Israel on Monday.

The government indicated that it might call for the removal of Israeli Ambassador Eliav Belotsercovsky accusing him of making "disparaging comments" about South Africa.

The statement described Ambassador Belotsercovsky's presence in South Africa as "untenable", adding it would pursue diplomatic channels to deal with his conduct in the country.

Foreign Minister Naledi Pandor said the government believes "the nature of response by Israel has become one of collective punishment".

Israel says it is trying to minimise civilian casualties and accuses Hamas of using non-combatants as human shields.

Hundreds of South Africans have protested against Israeli attacks on Gaza in recent weeks.

Earlier this year the South African embassy in Israel was downgraded to a liaison office.

Source: BBC
Kichapo kimekolea mkuu 🤣🤣
 
Wanajichetua tu ili waonekane na wao wapo.Wameivuruga S.Africa chini ya ANC imekuwa vururu vururu na ubaguzi wa kutisha kutoka kwa hao hao weusi dhidi ya raia wa kigeni wanaojitafutia ridhiki zao. Walikabidhiwa nchi ikiwa na miundo mbinu safi kabisa lakini wamevurunda mpaka inafikia hatua inapata na mgao wa umeme kama sisi huku lakini wapo busy na mambo wasiyoyaweza.Bora wangeendeleaga kutawaliwa tu na kaburu ndiyo alikuwa anawawezea.
Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Hao Afrika Kusini wanasumbuliwa tu na ule unafiki wa kiafrika hamna kitu hapo. Wao nchi za kiafrika zilijitoa muhanga kwa ajili yao lakini leo kila mwaka wanawashambulia na kuwauwa kibaguzi.

Wanafiki wakubwa hao hamna wanachoongea.

IMG_1567.jpg
 
Kwahiyo ulitaka awe upande wa kafiri wa kiyahudi? Ndio umpongeze sio!!

Free palestine 🇵🇸
 
Bora wangeendeleaga kutawaliwa tu na kaburu ndiyo alikuwa anawawezea
Dah!...kaburu kuwafanyia unyama raia weusi wa Africa Kusini sababu ya rangi yao ya ngozi ndio kuwawezea huko?...tena unaona bora wangeendelea kuwatawala?

Anyway... serikali ya kikaburu ya Africa Kusini ilikuwa mshirika mkubwa wa Israel.

Sio kweli, matango pori kutoka kwa politicians wenu, makaburu wangekua hivyo kama ulivyowaandika hapo juu, SA isingepata maendeleo makubwa, SA ya ANC kama kawaida ya watu weusi wameipeleka kwa laundry, watch the space next year, ANC wamekalia kuti kavu, na jiulize nani anamhutaji mwenzie zaidi, Israel au SA kimaendeleo?
Wewe unaongea nadharia halafu unapinga ukweli aliozungumza mwenzako.
Inamaana Cyril Ramaphosa alichoongea Arab Peace summit ni utumbo wewe una akili kuliko wewe???
Hiyo Afrika Kusini mpaka sasa ni kama inatawaliwa kiukoloni mambo Leo maana maendeleo wanafaidi weupe wachache kuliko weusi wengi.
 
Wanajichetua tu ili waonekane na wao wapo.Wameivuruga S.Africa chini ya ANC imekuwa vururu vururu na ubaguzi wa kutisha kutoka kwa hao hao weusi dhidi ya raia wa kigeni wanaojitafutia ridhiki zao. Walikabidhiwa nchi ikiwa na miundo mbinu safi kabisa lakini wamevurunda mpaka inafikia hatua inapata na mgao wa umeme kama sisi huku lakini wapo busy na mambo wasiyoyaweza.Bora wangeendeleaga kutawaliwa tu na kaburu ndiyo alikuwa anawawezea.
Na kama Makaburu wangeendelea kushikilia usukani wa utawala, inawezekana Elon Musk angekuwa raia halali wa South Africa.
 
Alafu wengine husema Halafu sio Harafu Ila neno sahihi ni Alafu sio Halafu
Upo sahihi kwa neno 'halafu' lakini si kweli kuwa neno sahihi ni 'alafu'Ukisoma comment ya niliyemquote ana tatizo kubwa la matumizi ya herufi 'h' na ndiyo maana hata neno 'huruma' yeye anaandika 'uruma'.
 
A.kusini wanajua wanacho kifanya kwa sababu wanacho kipitia wapalestina na wao walisha kipitia kwa miongo kadhaa chini ya makaburu,tena muungaji mkono mkubwa wa makaburu akiwa huyo Israel.

Kwahiyo usitake kuniambia ww mlala njaa kutoka buza una akili kuliko serikali ya S.Afrika.
Haibadilishi chochote kuwa viongozi wa S.Africa chini ya ANC wamefail vibaya sana kuiongoza Nchi yao.Kama wanasikitika na madhira yanayowapata Wapalestina iweje wao wawe ni vìnara wa kuwabagua raia wa kigeni wanaojitafutia mkate wa kila siku kwa kufanya kazi halali kabisa nchini kwa😵therwise punguza jazba na uwe unajibu hoja maswala ya sijui nimelala na njaa huku Buza ni non of ur b'ness.Jikite kwenye hoja.
 
Back
Top Bottom