Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Siyo kweliSio Halafu ni Alafu wewe pia umeingia chaka, hicho Kiswahili cha wapi ni Alafu sio Halafu ni A E I O U Alafu tamka hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweliSio Halafu ni Alafu wewe pia umeingia chaka, hicho Kiswahili cha wapi ni Alafu sio Halafu ni A E I O U Alafu tamka hivyo
Wewe huuoni huo unyama wa hao hao raia wa Africa Kusini weusi wanaowatendea raia wa kigeni tena wenye rangi nyeusi kama wao?Dah!...kaburu kuwafanyia unyama raia weusi wa Africa Kusini sababu ya rangi yao ya ngozi ndio kuwawezea huko?...tena unaona bora wangeendelea kuwatawala?
Anyway... serikali ya kikaburu ya Africa Kusini ilikuwa mshirika mkubwa wa Israel.
![]()
Brothers in arms - Israel's secret pact with Pretoria
During the second world war the future South African prime minister John Vorster was interned as a Nazi sympathiser. Three decades later he was being feted in Jerusalem. In the second part of his remarkable special report, Chris McGreal investigates the clandestine alliance between Israel and...www.google.com
Yani hao viongozi wa sasa chini ya ANC ni bure kabisa.Na kama Makaburu wangeendelea kushikilia usukani wa utawala, inawezekana Elon Musk angekuwa raia halali wa South Africa.
KweliSiyo kweli
Suala ANC kudhindwa kuongoza nchi haliwezi kuhalalisha kile kilicho kuwa kinafanywa na makaburu mpaka kuja kuwasifia hapa.Haibadilishi chochote kuwa viongozi wa S.Africa chini ya ANC wamefail vibaya sana kuiongoza Nchi yao.Kama wanasikitika na madhira yanayowapata Wapalestina iweje wao wawe ni vìnara wa kuwabagua raia wa kigeni wanaojitafutia mkate wa kila siku kwa kufanya kazi halali kabisa nchini kwa😵therwise punguza jazba na uwe unajibu hoja maswala ya sijui nimelala na njaa huku Buza ni non of ur b'ness.Jikite kwenye hoja.
Wanaunga mkono magaidi.Kwahiyo ulitaka awe upande wa kafiri wa kiyahudi? Ndio umpongeze sio!!
Free palestine 🇵🇸
Hayo ni matokeo ya kufeli kwa sera za ANC, Ila bado haihalalishi udhalimu wa utawala wa kikaburu.Wewe huuoni huo unyama wa hao hao raia wa Africa Kusini weusi wanaowatendea raia wa kigeni tena wenye rangi nyeusi kama wao?
Kwa hiyo makaburu walikuwa bora sana ?Na kama Makaburu wangeendelea kushikilia usukani wa utawala, inawezekana Elon Musk angekuwa raia halali wa South Africa.
hiyo haina madhara yeyote kwa israel. south africa imekuwa adui wa israel tangu enzi za nyerere. kwahiyo sio jambo la ajabu hata wayahudi wenyewe alijua hilo litatokea na hawaihesabii sana afrika kusini kama mshirika wao muhim hapa duniani, hivyo hawajamuumiza israel kwa chochote, zaidi sana wamewaumiza raia wao.Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza.
Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi mmoja uliopita.
Kulingana na Hospitali ya Al-Shifa ya Gaza City, takriban watu 200 wameuawa.
Serikali ya Afrika Kusini, ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikiunga mkono hoja ya Palestina, ililaani vikali Israel na kutaka kufutwa kazi kwa Balozi wa Israel, Eliav Belotsercovsky ikimtuhumu kwa kutoa "maoni ya kudharau" kuhusu Afrika Kusini.
Taarifa hiyo ilieleza kuwepo kwa Balozi Belotsercovsky nchini Afrika Kusini kuwa "kutokubalika", na kuongeza kuwa itafuata njia za Kidiplomasia kukabiliana na mwenendo wake Nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje, Naledi Pandor alisema Serikali inaamini "Hali ya kukabiliana na Israel imekuwa moja ya adhabu ya pamoja".
Israel inasema inajaribu kupunguza vifo vya raia na inashutumu Hamas kwa kutumia wasio wapiganaji kama ngao za binadamu.
Mamia ya raia wa Afrika Kusini wameandamana kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza katika wiki za hivi karibuni.
Mapema Mwaka 2023 Ubalozi wa Afrika Kusini Nchini Israel ulishushwa hadhi na kuwa ofisi ya mawasiliano.
########
South Africa says it will recall all of its diplomats from Tel Aviv following Israel's intense air strikes on Gaza on Sunday night.
The bombardment was one of Israel's heaviest since the war began a month ago.
According to Gaza City's Al-Shifa hospital, about 200 people were killed.
South Africa's government, which has long been a vocal supporter of the Palestinian cause, staunchly condemned Israel on Monday.
The government indicated that it might call for the removal of Israeli Ambassador Eliav Belotsercovsky accusing him of making "disparaging comments" about South Africa.
The statement described Ambassador Belotsercovsky's presence in South Africa as "untenable", adding it would pursue diplomatic channels to deal with his conduct in the country.
Foreign Minister Naledi Pandor said the government believes "the nature of response by Israel has become one of collective punishment".
Israel says it is trying to minimise civilian casualties and accuses Hamas of using non-combatants as human shields.
Hundreds of South Africans have protested against Israeli attacks on Gaza in recent weeks.
Earlier this year the South African embassy in Israel was downgraded to a liaison office.
Source: BBC
Upo sahihi mkuu. Wasouth Ni wa puuzi Sana Kama joz wameimaliza na upuuzi waoWanajichetua tu ili waonekane na wao wapo.Wameivuruga S.Africa chini ya ANC imekuwa vururu vururu na ubaguzi wa kutisha kutoka kwa hao hao weusi dhidi ya raia wa kigeni wanaojitafutia ridhiki zao. Walikabidhiwa nchi ikiwa na miundo mbinu safi kabisa lakini wamevurunda mpaka inafikia hatua inapata na mgao wa umeme kama sisi huku lakini wapo busy na mambo wasiyoyaweza.Bora wangeendeleaga kutawaliwa tu na kaburu ndiyo alikuwa anawawezea.
Hawezi kukuelewaHizo kelele za Julius Makema na EFF yake, anuse pua pale kwenye migodi ya wayahudi alone moto wake, tuanze na kushinikiza hamasi iachie mateka wa Israel halafu ndo tushinikize Israel na Hamas na West Bank wakae pamoja waunde taifa lenye amani la wayahudi, warabu, wazungu waishi Kwa pamoja.
Gaidi anajulikana ni mwenyekiti wenu wa maisha Mbowe na mahakama ilisha lidhibitisha.Wanaunga mkono magaidi.
Kwahiyo ulitaka awe upande wa kafiri wa kiyahudi? Ndio umpongeze sio!!
Free palestine [emoji1193]
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍYes free Palestine from Hamas terror
Walitaka mashambulio yatoke Hamas kwenda Israel? Watulie tu waache kupapatika mpaka kieleweke.
Hawezi kukuelewa
Upo sahihi mkuu. Wasouth Ni wa puuzi Sana Kama joz wameimaliza na upuuzi wao
Kwa hiyo alifungwa miaka mingapi kwa kosa la ugaidi na hiyo mahakama.Gaidi anajulikana ni mwenyekiti wenu wa maisha Mbowe na mahakama ilisha lidhibitisha.
Yaani iko kitabu watanzania kinaita Matanzania? Maana naona wayahudi kinaita Mayahudiوَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?