Afrika Kusini: Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la Jacob Zuma

Afrika Kusini: Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la Jacob Zuma

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Siku chache baada ya Jacob Zuma kujisalimisha Polisi kuanza kifungo cha miezi 15, Mahakama Kuu Nchini humo imetupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwake.

Licha ya kujisalimisha Polisi, Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini amepinga kifungo chake na Mahakama ya Kikatiba ambayo ilitoa Hukumu hiyo itasikiliza Madai yake Jumatatu.
=====

South Africa's high court on Friday dismissed former president Jacob Zuma's application to block his arrest for contempt of court, days after he handed himself over to police to begin a 15-month jail term.

"The application is dismissed with costs," the judge presiding over the case said.

The constitutional court last week ordered Zuma jailed for refusing to give evidence at an inquiry into corruption during his nine years in office from 2009. read more Though he turned himself in on Wednesday night, Zuma has challenged his sentence.

The constitutional court will hear his challenge in a separate case on Monday.

Friday's high court judgment came hours after the same court dismissed an application by the secretary general of the governing African National Congress (ANC) party, Ace Magashule, to have his suspension over corruption charges in a separate case set aside.

Both politicians' proceedings are regarded as a test for South Africa's ability to enforce the law -- even against powerful politicians -- 27 years after the ANC ousted South Africa's white minority rulers to usher in democracy.

Zuma's jail order has been seen as the most dramatic chapter yet in his journey from a revered anti-apartheid activist to a politician tainted by multiple charges of sleaze and corruption, all of which he denies.

As a member of the ANC when it was a liberation movement, Zuma was jailed by South Africa's white minority rulers for his efforts to establish a state that would treat citizens equally.

Zuma, 79, denies widespread corruption and has maintained he is the victim of a political witch-hunt.

Source: Reuters
 
Taarifa zilipotoka kuwa Rais mstaafu Zuma amehukumia kifungo jela wanaharakati walidemkia sana taarifa hizo. Walipogundua kuwa kosa liliompeleka jela ni kudharau na kupuuza amri ya mahakama wakazima mdemko.

Sababu iliyowazi ya kuzima mdemko ni kuwa vipenzi vyao- Lissu na Mbowe ndio wanaoongoza kwa kudharau na kuupuuza amri za mahakama.

Kwa ujmla mahakama zetun hapa Tanzania zimekuwa zikitumia sheria na hekima ya sheria kuepusha mengi kwani kwa midomo yao na meneo yao ya maji taka mengi tungeshayasikia- ya tunaonewa na ni maagizo toka juu. Mahakama oye na wadharau na wapuuza amri za mahakama ziii
 
Bado unomboleza?
 
Back
Top Bottom