NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Hakuna maisha rahisi, wachokozi lakini laini.Cheza ukule manati senkyuuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umetumia google translate.Johannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika
Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein.
uhalifu unaojulikana zaidi katika kila moja ya miji hii, ikiwa ni pamoja na rushwa ya polisi, shambulio wizi wa kutumia silaha, na uharibifu
mtu mjuzi wa habari Awezi kuona watanzania au bagradeshi Huuwawa sio Tu watanzania au wanageria Bali hadi wenye nchi mikwaju ya bunduki Hutembezewa
Ukichanganyisha waarifu wakubwa wakigeni na Wazaa wamekutana hapa
shambulio na wizi wa kutumia silaha ni Pretoria na kwamba Durban ndio jiji lenye uhalifu mwingi zaidi wa uharibifu na wizi.
Kama wote
Siraha nyingi sana mpaka vibaka wa simu
9mm zina wahusu majambazi wetu wakubwa hutumia siraha za maana
Mashine za maana
Ak47
AR4
M16
Na mabomu ya kulipua ATM na seva mbalimbali
Watu wengi huumiliki siraha wageni kwa waenyeji kuna mtu alisema
#comment
ubaya au Ni mwema Sana yaani nchi ya SA criminals ndo mahali pake kuna uhuni kuna visasi kuna uporaji kuna madawa ya kulevya kwahiyo popote utembeapo usiutumie Uhuru wa Tanzania kuishi nao nchi hiyo umakini unahitajika cvyo mnaisha pia ili uishi miaka Mingi angalia kazi yenye usalama wa maisha yako namna ya kupata pesa kialali kwasabu huko swala la bastora sio police tu mwenye nayo hata raia anatembea nayo kama manati tu.
Lakini south Africa upande wa kwanza
Ni nchi salama nzuri kuishi na mambo
Mengi ni nafuu kwa yule mtafutaji maisha
Ni pazuri sana sehemu nyingi Ni Smati
Ulaya ikasome,na kwa masera ni chimbo
Wamenyuti siku kadhaa wakiwa wanajipanga,kuruka nbele zaidi au
Kufurumusha mijengo nyumbani
Na mambo ya maendeleo mbalimbali
Mauaji mengi ya kuvizia ya matajiri wafanya biashara na visasi mbalimbali
Vya uhuni deile
Wageni wako kwenye atari zaidi kuibiwa
Hata kuuwawa special ukiwa na mshiko
Gari mali hapa chuki husika yani #bakubona_beza Tena kama unaishi
Na shemeji yetu omba duwa upate
Mwanamke mzuri huku na sio
Rahisi wengi wanatamaa
Usalama
Chukua njia tofauti kwenda na kutoka kazini. Badilikanyakati za kuondoka
Tazama
nje kwa ajili ya maeneo ya ukiwa, kusoma pointi ambapo barabara nyembamba, na miundo yoyote aualama muhimu ambazo zinaweza kutoa ulinzi kwa washambuliaji watarajiwa
kuepuka maeneo ya kuvizia yanayoweza kutokea. Njia rahisi zaidi ya kushinda shambulio niili kuepuka tishio kabisa.
kuwa na uwezo wa kumwona adui magari yanakuja karibu yako Always angalia
Kwa makini mara nyingi mashambulzi
Ya kuvizia hutokea gari baina ya gari
dhidi ya washambuliaji wenye silaha lazima getaway haraka kwa gari. Ikiwa kuendesha gari imekuwa ngumu Mtu aliye ndani ya gari kupatikana Na shambulio ka bunduki ni rahisi sana
kioo inaweza kumaanisha
tofauti kati ya maisha na kifo.
usiwe mchokozi na mtu maneno mengi.
Na kufanya biashara na watu sio waminifu
Na ikiwa unafanya na watu hao kuwa mtu wa usalama zaidi usijulikane na usiwe
Mwepesi wapi unaishi wapi unapita
Uwe kama kivuli kisicho shikika mtu
Usiyooneka kama upepo lakini unaishi
Kazi na watu hatarishi kisa unataka pesa inaweza kuwa mistake zaidi
kiwa ulianzisha ugomvi na mtu inaweza ikawa mbaya zaidi wengi wazawa au waaharifu Hapa hawana nguvu za mikono yani Kupigana hutegemea bunduki na sana sana kisu hata kisu piya sio wazuri hivyo Bado ni laini siraha ndio huwafanya wakali
Huwezi kufananisha na mtu wa bongo
Ngumi jiwe,usiwe msera sana kupita kiasi kama usera iwe Fun tu na kama msera
Kuna kuuwa au kuuwawa na vikakuweka
Jera
Kama umechokozwa au kuadiwa kuuwawa na mtu ambaye unamfahamu au humfahamu
Chukua hatua kuhama kuepusha hatari
AU kufanya plan naye adondoke
Kabla ajakudondosha kuenewa si haki
Ukiwa sniches daima_utakufa
#Fuck_sniches
Hii PM maana yake nije INBOX kwako? Toa ushauri hapahapa we jamaa ni gani?
Hii PM maana yake nije INBOX kwako? Toa ushauri hapahapa we jamaa ni gani
Sina ujamaa na ww ndugu ,Eti apa apa we kungunguni mbona vitu vyengine mnawafata watu PM kuomba namba za wagangaHii PM maana yake nije INBOX kwako? Toa ushauri hapahapa we jamaa ni gani?
We ni mchawi nini? Niko PRETORIA HAPA..... Njoo upate hata Rand 1000 Mwanangu, sema usiite mateja wenzako msije niletea upuuzi, ntawaua.Sina ujamaa na ww ndugu ,Eti apa apa we kungunguni mbona vitu vyengine mnawafata watu PM kuomba namba za waganga
Unajichawia mwenyewe sasa unaona pretoria ni kiwanja bora kwako cha kutanua hahahha nipo Salt riverWe ni mchawi nini? Niko PRETORIA HAPA..... Njoo upate hata Rand 1000 Mwanangu, sema usiite mateja wenzako msije niletea upuuzi, ntawaua.
Vipi na wale majamaaa ya forex hapo SA nasikia wengi wao Yana mpunga wa maana au danganya toto tu huko Instagram
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Utaelewaje wakati ata nchi yako haikuelewi .Ulichokiandika hakieleweki upuuz mtupu
Umeuwa braza , nimecheka balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah ,umenikumbusha nikifanya masters USA ,way back ,one day nimechill tu kwa nyumba wezi waliingia na bunduki ,nlibaki kuomba wachukue chote watakacho ....bongo hatuna expirience na danger kabisaMtoa mada kashusha nondo,ila utakuta kuna mtu yupo bongo hajawahi hata kuvuka boda achilia mbali ku risk maisha kutafuta hela analeta comments za kisenge!hapo katulia kwa shemeji yake anangoja dada yake na shemeji yake warudi kutoka kazini apige mzinga wa hela ya vocha!
Kwa maelezo yako hyo nchi haina usalama wwte ni gereza la utumwaJohannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika
Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein.
uhalifu unaojulikana zaidi katika kila moja ya miji hii, ikiwa ni pamoja na rushwa ya polisi, shambulio wizi wa kutumia silaha, na uharibifu
mtu mjuzi wa habari Awezi kuona watanzania au bagradeshi Huuwawa sio Tu watanzania au wanageria Bali hadi wenye nchi mikwaju ya bunduki Hutembezewa
Ukichanganyisha waarifu wakubwa wakigeni na Wazaa wamekutana hapa
shambulio na wizi wa kutumia silaha ni Pretoria na kwamba Durban ndio jiji lenye uhalifu mwingi zaidi wa uharibifu na wizi.
Kama wote
Siraha nyingi sana mpaka vibaka wa simu
9mm zina wahusu majambazi wetu wakubwa hutumia siraha za maana
Mashine za maana
Ak47
AR4
M16
Na mabomu ya kulipua ATM na seva mbalimbali
Watu wengi huumiliki siraha wageni kwa waenyeji kuna mtu alisema
#comment
ubaya au Ni mwema Sana yaani nchi ya SA criminals ndo mahali pake kuna uhuni kuna visasi kuna uporaji kuna madawa ya kulevya kwahiyo popote utembeapo usiutumie Uhuru wa Tanzania kuishi nao nchi hiyo umakini unahitajika cvyo mnaisha pia ili uishi miaka Mingi angalia kazi yenye usalama wa maisha yako namna ya kupata pesa kialali kwasabu huko swala la bastora sio police tu mwenye nayo hata raia anatembea nayo kama manati tu.
Lakini south Africa upande wa kwanza
Ni nchi salama nzuri kuishi na mambo
Mengi ni nafuu kwa yule mtafutaji maisha
Ni pazuri sana sehemu nyingi Ni Smati
Ulaya ikasome,na kwa masera ni chimbo
Wamenyuti siku kadhaa wakiwa wanajipanga,kuruka nbele zaidi au
Kufurumusha mijengo nyumbani
Na mambo ya maendeleo mbalimbali
Mauaji mengi ya kuvizia ya matajiri wafanya biashara na visasi mbalimbali
Vya uhuni deile
Wageni wako kwenye atari zaidi kuibiwa
Hata kuuwawa special ukiwa na mshiko
Gari mali hapa chuki husika yani #bakubona_beza Tena kama unaishi
Na shemeji yetu omba duwa upate
Mwanamke mzuri huku na sio
Rahisi wengi wanatamaa
Usalama
Chukua njia tofauti kwenda na kutoka kazini. Badilikanyakati za kuondoka
Tazama
nje kwa ajili ya maeneo ya ukiwa, kusoma pointi ambapo barabara nyembamba, na miundo yoyote aualama muhimu ambazo zinaweza kutoa ulinzi kwa washambuliaji watarajiwa
kuepuka maeneo ya kuvizia yanayoweza kutokea. Njia rahisi zaidi ya kushinda shambulio niili kuepuka tishio kabisa.
kuwa na uwezo wa kumwona adui magari yanakuja karibu yako Always angalia
Kwa makini mara nyingi mashambulzi
Ya kuvizia hutokea gari baina ya gari
dhidi ya washambuliaji wenye silaha lazima getaway haraka kwa gari. Ikiwa kuendesha gari imekuwa ngumu Mtu aliye ndani ya gari kupatikana Na shambulio ka bunduki ni rahisi sana
kioo inaweza kumaanisha
tofauti kati ya maisha na kifo.
usiwe mchokozi na mtu maneno mengi.
Na kufanya biashara na watu sio waminifu
Na ikiwa unafanya na watu hao kuwa mtu wa usalama zaidi usijulikane na usiwe
Mwepesi wapi unaishi wapi unapita
Uwe kama kivuli kisicho shikika mtu
Usiyooneka kama upepo lakini unaishi
Kazi na watu hatarishi kisa unataka pesa inaweza kuwa mistake zaidi
kiwa ulianzisha ugomvi na mtu inaweza ikawa mbaya zaidi wengi wazawa au waaharifu Hapa hawana nguvu za mikono yani Kupigana hutegemea bunduki na sana sana kisu hata kisu piya sio wazuri hivyo Bado ni laini siraha ndio huwafanya wakali
Huwezi kufananisha na mtu wa bongo
Ngumi jiwe,usiwe msera sana kupita kiasi kama usera iwe Fun tu na kama msera
Kuna kuuwa au kuuwawa na vikakuweka
Jera
Kama umechokozwa au kuadiwa kuuwawa na mtu ambaye unamfahamu au humfahamu
Chukua hatua kuhama kuepusha hatari
AU kufanya plan naye adondoke
Kabla ajakudondosha kuenewa si haki
Ukiwa sniches daima_utakufa
#Fuck_sniches
Mbona haya majibu mmepuyangaUtaelewaje wakati ata nchi yako haikuelewi .
Ha.Kwanza ushajitibu gono ? Si ulikuwa ubatafuta dawa ya gono ww umu umu
Hiyo ndio nchi ya kuishSauz Qu.ma sio kitu cha kunyimwa
Kutoingia kwangu humu Jf kumekusaidia sana wewe kushindwa kukushushia dhoruba zangu.Kwanza ushajitibu gono ? Si ulikuwa ubatafuta dawa ya gono ww umu umu