Afrika Kusini ni pazuri ila ni hatari

Afrika Kusini ni pazuri ila ni hatari

Johannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika

Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein.

uhalifu unaojulikana zaidi katika kila moja ya miji hii, ikiwa ni pamoja na rushwa ya polisi, shambulio wizi wa kutumia silaha, na uharibifu

mtu mjuzi wa habari Awezi kuona watanzania au bagradeshi Huuwawa sio Tu watanzania au wanageria Bali hadi wenye nchi mikwaju ya bunduki Hutembezewa

Ukichanganyisha waarifu wakubwa wakigeni na Wazaa wamekutana hapa

shambulio na wizi wa kutumia silaha ni Pretoria na kwamba Durban ndio jiji lenye uhalifu mwingi zaidi wa uharibifu na wizi.
Kama wote

Siraha nyingi sana mpaka vibaka wa simu
9mm zina wahusu majambazi wetu wakubwa hutumia siraha za maana
Mashine za maana
Ak47
AR4
M16
Na mabomu ya kulipua ATM na seva mbalimbali

Watu wengi huumiliki siraha wageni kwa waenyeji kuna mtu alisema

#comment
ubaya au Ni mwema Sana yaani nchi ya SA criminals ndo mahali pake kuna uhuni kuna visasi kuna uporaji kuna madawa ya kulevya kwahiyo popote utembeapo usiutumie Uhuru wa Tanzania kuishi nao nchi hiyo umakini unahitajika cvyo mnaisha pia ili uishi miaka Mingi angalia kazi yenye usalama wa maisha yako namna ya kupata pesa kialali kwasabu huko swala la bastora sio police tu mwenye nayo hata raia anatembea nayo kama manati tu.

Lakini south Africa upande wa kwanza
Ni nchi salama nzuri kuishi na mambo
Mengi ni nafuu kwa yule mtafutaji maisha
Ni pazuri sana sehemu nyingi Ni Smati
Ulaya ikasome,na kwa masera ni chimbo
Wamenyuti siku kadhaa wakiwa wanajipanga,kuruka nbele zaidi au
Kufurumusha mijengo nyumbani
Na mambo ya maendeleo mbalimbali

Mauaji mengi ya kuvizia ya matajiri wafanya biashara na visasi mbalimbali
Vya uhuni deile

Wageni wako kwenye atari zaidi kuibiwa
Hata kuuwawa special ukiwa na mshiko
Gari mali hapa chuki husika yani #bakubona_beza Tena kama unaishi
Na shemeji yetu omba duwa upate
Mwanamke mzuri huku na sio
Rahisi wengi wanatamaa

Usalama
Chukua njia tofauti kwenda na kutoka kazini. Badilikanyakati za kuondoka

Tazama
nje kwa ajili ya maeneo ya ukiwa, kusoma pointi ambapo barabara nyembamba, na miundo yoyote aualama muhimu ambazo zinaweza kutoa ulinzi kwa washambuliaji watarajiwa

kuepuka maeneo ya kuvizia yanayoweza kutokea. Njia rahisi zaidi ya kushinda shambulio niili kuepuka tishio kabisa.

kuwa na uwezo wa kumwona adui magari yanakuja karibu yako Always angalia
Kwa makini mara nyingi mashambulzi
Ya kuvizia hutokea gari baina ya gari

dhidi ya washambuliaji wenye silaha lazima getaway haraka kwa gari. Ikiwa kuendesha gari imekuwa ngumu Mtu aliye ndani ya gari kupatikana Na shambulio ka bunduki ni rahisi sana

kioo inaweza kumaanisha
tofauti kati ya maisha na kifo.

usiwe mchokozi na mtu maneno mengi.
Na kufanya biashara na watu sio waminifu
Na ikiwa unafanya na watu hao kuwa mtu wa usalama zaidi usijulikane na usiwe
Mwepesi wapi unaishi wapi unapita
Uwe kama kivuli kisicho shikika mtu
Usiyooneka kama upepo lakini unaishi

Kazi na watu hatarishi kisa unataka pesa inaweza kuwa mistake zaidi

kiwa ulianzisha ugomvi na mtu inaweza ikawa mbaya zaidi wengi wazawa au waaharifu Hapa hawana nguvu za mikono yani Kupigana hutegemea bunduki na sana sana kisu hata kisu piya sio wazuri hivyo Bado ni laini siraha ndio huwafanya wakali

Huwezi kufananisha na mtu wa bongo
Ngumi jiwe,usiwe msera sana kupita kiasi kama usera iwe Fun tu na kama msera
Kuna kuuwa au kuuwawa na vikakuweka
Jera

Kama umechokozwa au kuadiwa kuuwawa na mtu ambaye unamfahamu au humfahamu
Chukua hatua kuhama kuepusha hatari
AU kufanya plan naye adondoke
Kabla ajakudondosha kuenewa si haki

Ukiwa sniches daima_utakufa
#Fuck_sniches
Uko simnaishi kama wanyama maisha gani hayo una hela ila unaishi kama digidigi
Tanzania hakuna sehemu nzuri ila ukiwa na hela unaishi kwa aman sana
 
Report ya mwaka 2016 inasema South Africa ni nchi ya pili Kwa uhalifu baada ya USA. Pia, report hiyo inasema Kila baada ya dakika mbili kuna uhalifu unatokea waweza kuwa aidha was kuuwa Kwa silaha au ubakaji. Huko siyo pa kwenda, kule wamepinda vibaya ! Hawamjui Wala kumwogopa Mungu
Acha uongo nchi zinaongoza kwa uhalifu ni mexico, brazili, colombia mostly ni zile za latin america
Marekani crime ni ndogo uki-take into account population ya million 340+
 
Acha uongo nchi zinaongoza kwa uhalifu ni mexico, brazili, colombia mostly ni zile za latin america
Marekani crime ni ndogo uki-take into account population ya million 340+
Acha ubishi riport nyingi zinaonesha Marekani kinala wa uharifu wa siraha. Mexico na Latini Amerika ni vurugu za makundi ya mihadarati
 
Je, polisi huwa wanafanikisha kuwakamata hao wahalifu, kuwafungulia mashtaka na hatimaye kufungwa jela au hao wahalifu huwa hawakamatiki?

Kazi ya polisi na mahakama huko ni nini?
 
Kila mji Sauz una informal settlement huko Ni balaa na nusu kmmk
 
Sijapenda uandishi wako. Una kiswahili cha mtu ambaye amejifunza kiswahili miezi nane na ni kama umeandika kwa kutumia google translator.

Umenikera zaidi kwenye mtiririko wako wa story yaani unaandika hiki unaachia njiani, unarukia kile unaachia hewani, unarudia cha kwanza haueleweki kwann umekirudia unaachia njiani tena. Yaani una haha.

Kwakweli umejua kukera.
 
Rushwa ndo tatizo thus makaburu walikuwa sahihi, huwezi ukaishi zizi moja na primitives
 
Police wa sauzi ndio uwachekia wahalifu.
Ukitumia bunduki vizur uhalifu huwa ni historia,sheria haina uwezo wa kumaliza uhalifu
 
Police ni wanufaika wa uhalifu mbona enzi za kaburu ujinga huo haukuwepo
 
Johannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika

Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein. Uhalifu unaojulikana zaidi katika kila moja ya miji hii, ikiwa ni pamoja na rushwa ya polisi, shambulio wizi wa kutumia silaha, na uharibifu.

Mtu mjuzi wa habari Awezi kuona Watanzania au bagradeshi Huuwawa sio Tu watanzania au wanageria Bali hadi wenye nchi mikwaju ya bunduki Hutembezewa. Ukichanganyisha waarifu wakubwa wakigeni na Wazaa wamekutana hapa shambulio na wizi wa kutumia silaha ni Pretoria na kwamba Durban ndio jiji lenye uhalifu mwingi zaidi wa uharibifu na wizi Kama wote.

Siraha nyingi sana mpaka vibaka wa simu 9mm zina wahusu, majambazi wetu wakubwa hutumia siraha za maana - Ak47, AR4, M16 na mabomu ya kulipua ATM na seva mbalimbali. Watu wengi huumiliki siraha wageni kwa waenyeji kuna mtu alisema

#comment
Ubaya au Ni mwema Sana yaani nchi ya SA criminals ndo mahali pake kuna uhuni kuna visasi kuna uporaji kuna madawa ya kulevya kwahiyo popote utembeapo usiutumie Uhuru wa Tanzania kuishi nao nchi hiyo umakini unahitajika cvyo mnaisha pia ili uishi miaka Mingi angalia kazi yenye usalama wa maisha yako namna ya kupata pesa kialali kwasabu huko swala la bastora sio police tu mwenye nayo hata raia anatembea nayo kama manati tu.

Lakini south Africa upande wa kwanza ni nchi salama nzuri kuishi na mambo mengi ni nafuu kwa yule mtafutaji maisha. Ni pazuri sana sehemu nyingi Ni Smati. Ulaya ikasome, na kwa masera ni chimbo Wamenyuti siku kadhaa wakiwa wanajipanga,k uruka nbele zaidi au kufurumusha mijengo nyumbani na mambo ya maendeleo mbalimbali

Mauaji mengi ya kuvizia ya matajiri wafanya biashara na visasi mbalimbali vya uhuni deile

Wageni wako kwenye atari zaidi kuibiwa hata kuuwawa special ukiwa na mshiko. Gari mali hapa chuki husika yani #bakubona_beza Tena kama unaishi na shemeji yetu omba duwa upate Mwanamke mzuri huku na sio
Rahisi wengi wanatamaa

Usalama
Chukua njia tofauti kwenda na kutoka kazini. Badilika nyakati za kuondoka, Tazama nje kwa ajili ya maeneo ya ukiwa, kusoma pointi ambapo barabara nyembamba, na miundo yoyote au alama muhimu ambazo zinaweza kutoa ulinzi kwa washambuliaji watarajiwa kuepuka maeneo ya kuvizia yanayoweza kutokea. Njia rahisi zaidi ya kushinda shambulio niili kuepuka tishio kabisa.

Kuwa na uwezo wa kumwona adui magari yanakuja karibu yako Always angalia kwa makini mara nyingi mashambulzi ya kuvizia hutokea gari baina ya gari dhidi ya washambuliaji wenye silaha lazima getaway haraka kwa gari. Ikiwa kuendesha gari imekuwa ngumu Mtu aliye ndani ya gari kupatikana Na shambulio ka bunduki ni rahisi sana, kioo inaweza kumaanisha tofauti kati ya maisha na kifo.

Usiwe mchokozi na mtu maneno mengi. Na kufanya biashara na watu sio waminifu. Na ikiwa unafanya na watu hao kuwa mtu wa usalama zaidi usijulikane na usiwe Mwepesi wapi unaishi wapi unapita. Uwe kama kivuli kisicho shikika mtu usiyooneka kama upepo lakini unaishi.

Kazi na watu hatarishi kisa unataka pesa inaweza kuwa mistake zaidi. Ikiwa ulianzisha ugomvi na mtu inaweza ikawa mbaya zaidi wengi wazawa au waaharifu Hapa hawana nguvu za mikono yani Kupigana hutegemea bunduki na sana sana kisu hata kisu piya sio wazuri hivyo Bado ni laini siraha ndio huwafanya wakali

Huwezi kufananisha na mtu wa bongo Ngumi jiwe,usiwe msera sana kupita kiasi kama usera iwe Fun tu na kama msera. Kuna kuuwa au kuuwawa na vikakuweka Jera

Kama umechokozwa au kuadiwa kuuwawa na mtu ambaye unamfahamu au humfahamu, chukua hatua kuhama kuepusha hatari AU kufanya plan naye adondoke kabla ajakudondosha, kuenewa si haki.

Ukiwa sniches daima_utakufa
#Fuck_sniches
Nilipigwaga ngeta na watu kama sita hivi wakaniibia kisimu changu sina hamu nao, ilikuwa jioni tu maeneo ya sunnypark shopping centre, hapafai kabisa
 
Hivi watu mnataka muandikiwe kiswahili gani? mbona anaeleweka,wazee hapa sio darasani mkitaka utaratbu wa Uandishi rudini mashuleni.

Huku duniani tunatafuta point za msingi tu ktk uandishi wa mtu mengine tunapotezea, watu kujifanya Walimu wakati hamna mwenye matokeo ya A kiswahili.
 
Nilipigwaga ngeta na watu kama sita hivi wakaniibia kisimu changu sina hamu nao, ilikuwa jioni tu maeneo ya sunnypark shopping centre, hapafai kabisa
Dah!...mshukuru Mungu aliulinda uhai wako.

uhalifu uko bondeni ndio penyewe.....ukosefu mkubwa wa ajira kwa wazawa, rushwa iliyokithiri na mengine mengi yanachafua nchi.
 
Back
Top Bottom