Kichwa maji wa Bawacha unataka kutuambia kwa UK hakukuwa na matukio ya mauaji au hakuna uhalifu?Amani ya kummiminia Lissu risasi, amani ya kuota miili ya watu kwenye viroba, amani ya kuambia tusiseme vyuma vimekaza.
Hongera kwa UK ulistahili, wewe ni Baba wa Demokrasia hapa EAC.
Feki vyeti utamjua tu![emoji13] [emoji13] [emoji13]Hizo tuzo za ki bwege tu!
Kichwa maji wa Bawacha unataka kutuambia kwa UK hakukuwa na matukio ya mauaji au hakuna uhalifu?
Unamkumbuka mkurugenzi wa IT bwana msando?
Mauaji yanayotokea kenya hasa kwa wapinzani?
hahahaha hakuna kipimo kimoja kwenye hiyo tuzo...
Pole sana dada
kwa sababu kapewa usiyempenda ..utakuwa wewe ndo bwegeHizo tuzo za ki bwege tu!
Hahaha duuhKwavile nilimpa mama yako mimba ndio unaniita dada?
We unavyo halisiFeki vyeti utamjua tu![emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kama mnawapoteza akina chacha wangwe mtaaminika vp!Akili za makarai wanazijuaga wenyeweHivi yule mwandishi wa habari amepatikana?
Ili nijue kweli kuna amani!
Huu ni uzushi, hakuna cha tuzo hapo, tundu lissu mwenyewe hajapona bado, ben wa saanane mpaka leo hajapatina, hiyo itakuwa tuzo ya lumumba🙂)😀
===thamani. hoja yako naikubali pia.Ni kama zile tuzo za kina Ali Kiba na Daimond wanazogombaniaga huko marekani na ulaya.
Ni kama vile siku hizi hata chekechea kuvaa joho. zimekosa dhamani kabisa.
umeanza,vizuri..lakini,hapo..pakusema..bado..ana..miaka..7..ndo..umeharibu,wakati..Mungu,anafahamu..kuna..uchaguziMagufuli ni chaguo la Mungu wasiopenda wahame nchi maana bado ana miaka 7 ya kuingoza nchi hii
Aisee unajua nimecheka mpk basi. Ungesubiri uitoe tarehe mosi. Yaani wewe chiboko kulikoHakuna kitu mchina hawezi kutengeneza! Hata amani ukimpa tenda ya kuitengeza anaweza, ni wewe tu umejipangaje kwenye pochi yako!
Wanaweza hata kutengeneza malaika wanaoweza kuzima mitandao ya kijamii! chezea macho madogo weye!